
Ni mapenzi ya wateja wengi wa DStv pindi watakapoona ITV ikiwa inapatikana kwenye king'amuzi hicho na hii pia itapelekea kuwashawishi wengine ili waweze kujiunga na familia ya DStv!
ITV ni miongoni mwa channel za Tanzania zinazopendwa sana licha ya vipindi vyake na kwa...