Kwa Tsh 320,000/=
Unajumuisha C band Dish ft6,LNB cband n KU,Cable mt30,Receiver,Diseqc switch na Installations TV moja.
Unapata kuona zaidi ya Channels 60 FREE!!!
Za Tanzania zikiwemo zifuatazo:
ITV
CAPITAL
EATV
ATN
TBC
CHANNEL 10
STAR TV
Ambazo sijazitaja hapo hazionekani kwasababu hazijajiunga na Satellite.
KUHAMISHA...
Jan 20, 2010
Twende kazi...!!!

Kwetu kila kukicha tunacheza na mitandao kutaka kujua lipi jipya upande wetu huu ili tupate kwenda sawa na ya duniani,kila leo frequency zinabadilika na satellite kuhama hivyo ili wateja wetu waweze kupata ambacho wanakihitaji up to date,tunawatumikia sana kuliko wadhaniavyo...!!
Leo...
"njoo tukuonyeshe Original ili uiepuke Fake"

KARIBU KWENYE BLOG YETU ITAKAYOKUWA INAHUSU
MAMBO YOTE YA MADISH KAMA UTAHITAJI ELIMU ZAIDI,USHAURI,MSAADA KIUFUNDI
AMA KUHUDUMIWA HII NDIO SEHEMU SAHIHI KWAKO KARIBU!
FREE CHANNELS
KWA DISH KUBWA
LOCAL CHANNELS ( Tanzania includes Mozambique n Angola )
*...