Call / WhatsApp +255755949413

May 31, 2011

TRANSIT MOTEL Ukonga kama kawa kama dawa...!!

 Ilinichukua siku mbili kufanya nilichofanya na kuacha TV za vyumba vyote zikiwa clear kabisa..!! Inaitwa TRANSIT MOTEL hii ipo ukonga pale njia panda ya kwenda segerea..!!  Hiki ni chumba kimojawapo kati ya vyote nilivyopita pita na kuacha TV za vyumba vyote...
Share:

May 29, 2011

TUNAUZA | TUNAFUNGA | TUNATOA USHAURI | VING'AMUZI

DISH NA VING'AMUZI AINA ZOTE. PIGA:+2557149737...
Share:

FLAT SCREEN NA TV BRACKET..!!

Mwezi huu tunaumalizia huku kukujuza umuhimu wa flat screen na tv bracket,pengine waweza ikawa wewe ni mmojawapo kati ya wale wanaoshangaa inakuwaje tv inaganda ukutani..!! Tv inafungwa ukutani kwa kutumia tv bracket,tv bracket inakamata ukuta kwa kudrill na tv husika kwa...
Share:

May 28, 2011

BAHARI LODGE nimesababisha..!!

Ilikuwa Alihamisi na Ijumaa nilikuwa pale maeneo ya Bahari beach,wenyewe wanapaita njia panda ya kwenda bahari beach hotel dar es salaam,hapa kuna lodge moja ya kisasa safi sana inaitwa BAHARI LODGE..!! Issue ilikuwa Local hazionyeshi kwa TV zote nami nilihitajika...
Share:

May 26, 2011

ARABISAT..!!

Jana nilikuwa maeneo fulani hivi wanapaita mwinyimkuu magomeni,hapa nilisababisha channels za kiarabu kama zijulikanazo ARABISAT kwenye dish ya c band ft6 na mzee alizipata channels hizi zifuatazo maana ndo mahitaji yake:- JSC Syrian TV Southern Sudan AD Alouta Oman TV Kuwait TV Saudi TV Qatar TV Sharjah TV Saud-Quran Sudan TV Saud-Sunnah TVE-Internacional Baada...
Share:

May 19, 2011

MWENDO NI ULE ULE...!!

 Wa nyumba hadi nyumba jengo hadi jengo ilihali dunia tunaileta nyumbani kwako ukiwa TV yako hata kama black n white utaifurahia...!! Hapa ni maeneo ya sinza hapa nimeacha channel za gospel zikiendelea kama kawa ila usitishike na hiyo lebo ya DSTV ni...
Share:

May 16, 2011

UNAILINDA VIPI DISH YAKO NA MVUA..??

 Ni jambo la kawaida mtu kulinda chake ili kidumu milele,hapa tunaweza kuona jambo ambalo watu wengi ambao wanamiliki madish wanapenda kulifanya kwa kuzuia mvua.....!!Je wewe unalindaje dish lako...?? ...
Share:

TUHESHIMIANE JAMANI....!!!

 Ni kawaida ya kuwa mtu ukifunga dish lazima nyumba iwe na hadhi fulani hivi ila kwa hapa tutaenda sawa tu ukiambiwa uishi upendavyo huku machannel ya kitu cha Dish yakipatikana kama hivyooo uonavyo....!!  ...
Share:

May 14, 2011

Hakuna kinachoshindikana...!!

...
Share:

May 11, 2011

Mwanaume anasifiwa kazi...!!

Matembezi kwetu ni kama kawaida,hapa tumerejea tena kwa mdada mmoja hivi yupo maeneo ya Mbezi sala sala n mambo yakawa mswano,kana kwamba tunabomoa kumbe ndivyo twatengeneza...!! Hii ni twin KU lnb kwa ajili ya channel za Gospel.   Hii ni twin KU na twin C BAND,maana...
Share:

May 10, 2011

Nyumbani kwangu pia...!!

Icje ikawa ikawa kama fundi nanii yeye anatengenezea wenzie vitanda hali ya kuwa yeye analala chini...!! Hii ni dish ya DSTV na hapa ni nyumbani kwangu ambapo napata usingizi,hivyo nami maisha yanaendelea kama ambao nawafungia hayo madish....
Share:

May 8, 2011

WEEK END KWETU HAINA TOFAUTI NA MONDAY..!!

Week end kwetu ni kama Monday vile maana mbio ndizo zilezile,7bu tupo kwa ajili ya kuwafurahisha wengine,huku yetu yakituendea vema...!! Hapa ni katika J2 ya leo maeneo ya kulasini nishauza hapo na sasa naelekea sehemu moja wanapaita Tabata pale maeneo ya swiz pub.....
Share:

May 7, 2011

WENYE KUMBI ZA KUONYESHA MPIRA KUPITIA DSTV IMEKULA KWAO...!!!

 Ni kilio cha watanzania wengi pande mbili kwa wakati mmoja,namaanisha kwa wale wapenzi wa mpira ligi za nje na wale wamiliki kumbi hizo...!!MULTICHOICE TANZANIA ( DSTV ) kwa sasa ipo katika operations ya kuwafungia wale wote ambao walinunua DSTV kwa matumizi binafsi matokeo...
Share:

May 6, 2011

NIPO KWENYE RESEACH ZAIDI....!!!

  Kila kukicha yanazaliwa mapya nami naumiza kichwa kwenda sawa katika ukanda wangu huu....!!Mfano leo Tanzania yetu imekuwa na mfumuko wa ving'amuzi na kufanya pia ufungaji wa madish kupunua ila mwisho wa siku bado dish linskuwa dish na king'amuzi kinabaki kuwa king'amuzi....!!Ambacho...
Share:

May 5, 2011

EWTN yanayoendelea Vatican city...!!

Hii ni Channel inapatikana kwenye C BAND ila sijaifanyia utafiti kama kwenye KU BAND kama inapatikana pia,ni ya dini ya wakristo na kwasasa kuna mambo yanaendelea kule Vatican city kuapishwa nadhani kwa viongozi wao...!!Jana nilikuwa Bagamoyo pale maeneo ya Zinga kwenye kituo...
Share:

May 3, 2011

HOTEL INSTALLATIONS INAKUWA ILIVYOKUWA...!!

  Hii inaitwa Multiswitch na mara nyingi hutumika mahotelini ama kwenye Apartment au hata kwenye nyumba binafsi,ila kazi yake ni kugawa Receiver zaidi ya moja kama uonavyo hapo,hizo cable zote zimeingia kwenye receiver.......
Share:

Hapa hakuna kinachoonekana kamwe....!!

Satellite Dish ya aina yeyote ukiiona imezibwa hivi jua ya kuwa hakuna kinachoonekana kwenye TV,kwa sababu tunaposet huwa tunalenga kwenye Satellite husika hivyo lazima kuwe na mawasiliano baina ya Dish na Satellite kwa mtindo wa kulenga,hivyo ikizibwa maana yake ni kukata mawasiliano...
Share:

May 1, 2011

KOTA ZA BANDARI ILIKUWA BWAAA...!!

  Ufundi banaa huzidiana yaani kama ubabe...!!Mbabe wako ndo mnyonge wangu n hilo halina ubishi na ndivyo ilivyotokea hapa..!!Jamaa alipewa issue ya kuhamisha Dish toka maeneo ya K'koo na kuhamishia Kulasini katika kota za Bandari,Dish ilikuwa ni ya c band zile kuuubwa...
Share:

HOUSE'S TOO CHEAP FOR SALE AT MBEZI LUIS..!!

NYUMBA INAUZWA MBEZI LUIS KWA FUNGO MIL.45   Muonekano kwa nje.    Kwa uwani ndani ya uzio.                                               ...
Share:

Nawatakia sikukuu njema wajenga nchi wenzangu !

Leo ni tarehere 1 mwezi wa 5,kila tarehe hii imekuwa tunasherehekea sikukuu ya wafanyakazi,lengo na madhumuni ni kuthamini uwepo wa wafanyakazi na kukutana pamoja kuonyesha na kuzunguza ambayo yanaweza yakatupa changamoto wafanyakazi wa kila idara,huu ni mtazamo wangu kwa upeo wangu mdogo nilionao juu ya siku hii ya leo,pengine wewe unajua zaidi ya...
Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

4645298

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA WHATSAPP +255755949413