Hii ni Receiver
Zamani ilikuwa unaweza ukanunua Receiver yeyote ambayo inasoma card then unaenda DSTV wanakuuzia smart card kisha wanalink baada ya hapo unakuwa mteja bila kununua Decoder hii ilikuwa inamfanya mteja kuweza kupata Channels za DSTV na zile za bure kama Local kiasi kwamba hata usipolipia DSTV utaendelea kuona zile za bure!!Lakini huduma hii kwa sasa wamesitisha ili kupata huduma za DSTV ni lazima upate Decoder za DSTV!!
Hii inakuwa huduma ya pili kufungwa ya kwanza ikiwa ile ya kupata DSTV kwa kutumia C BAND na wale wenye Decoder za zamani kwa sasa pia hazifanyi kazi
Decoder hii ya zamani
Hii nayo ya zamani lakini unapata DSTV
Zifuatazo ndizo mpya single view Decoder:
8 Unasemaje..??:
Kwa mfano nimeweka DSTV yangu muda mrefu bila kulipia siku nikija lipia nachajiwa zaidi?
Nasikia kuna offer ni bei gani kwa decoder tupu pia nataka kujua hivi ni deccoder gani nzuri na bei zake je!??
Nisaidie hili kaka mie pia nimekumbwa na kufungiwa ila nilikuwa sielewi!
Vipi kwa wenye madish ya kawaida ukigeuzia upande wa magharibi unaweza kunasa chnl? Kama ndiyo ni zipi na ktk satellite ipi utapata chnl nzuri.? Samhn swali halihusu DSTV, Lakini nisaidie kunielewesha.
Nahitaji kufunga dstv ila ni nje ya dsm kidogo vipi itakamata!!??
Kwa wote wenye maswali ambayo yana haraka unaweza hata ukanitext kwenye simu yangu!!!
Dstv wherever kwa Tanzania inakamata ijapokuwa hata nje ya Tanzania kwa yule mwenye kuuliza je kama ni nje ya Dar!!
Dstv ukiweka muda mrefu bila kulipia hakuna kulipa zaidi ya ile package utakayoichagua!!
Offer nadhani umeshajua bei!!
Sasa sijui hilo dish ni KU au C BAND so unaweza check nami kwa maelezo zaidi!!
Dish la C band nikiligeuzia upande wa magharibi nitapata channel gani?
Nataka hii ntaipataje?
Post a Comment