
DSTV bado inafanya vizuri na ukizingatia haina mipaka ndani ya Tanzania
na ndo sababu ya kukufanya popote ulipo unaweza kufunga na ukaona kila
ambacho unapaswa kuona kutokana na Package uliyoilipia!!
Kwa mantiki hiyo ikafanya watu watoke sehemu moja inaitwa IKWIRIRI na kutaka...