
NISHAFANYA YANGU
Kiukweli ntaona ajabu sana kama unataka kununua TV na ukaenda kununua zile analogue badala ya flat screen kitu cha bapa!
Naanza kuzisahau TV za chogo maana kile niendapo nakutana na flat,jambo zuri na kupendeza maana hata ufungaji wake tv inakuwa...