Matakwa ya mteja ndo wajibu wangu kila siku maana nipo kwa ajili ya kukufanya wewe upate furaha kwa unachokihitaji!!
Alinipigia simu na shida yake ilikuwa kupata CNN na BBC free kama inawezekana maana yeye hataki mambo ya kulipia lipia!Nikamwambia inawezekana tena zaidi ya hizo anazozitaka yeye!Nikatumia Dish ft 6 na LNB KU pale muda c muda channels...
Jun 29, 2013
TRANSIT MOTEL TENA!

TRANSIT MOTEL AIRPORT
Nilianzia pale uwanja wa ndege na kisha nikaenda fanya ya kupendeza palee njiapanda ya sitakishari!
Kazi
niifanyayo ndo inapelekea mwengine akosolewe maana huwa lazima mteja
awe nae kama fundi penye tatizo namsomesha mpaka anaelewa n...
Jun 28, 2013
ARABSAT IMENIPELEKA MWANDEGE!

HAPA NATAFUTA WAARABU
Sikuwahi kufika wala kutarajia kufika kabla ila kwasababu wewe ndo wa kufanya niende popote hivyo sina pingamizi na najivunia kazi yangu maana faida ya pili kuijua Tanzania kwa vitendo!
Kwa wenyeji wanasema Mwandege ni nje kidogo mwa mkoa wa...