Niliwahi kuwaambia baadhi ya watu ila ikawa kama hawanielewi hivi baada ya kukataa kuwafungia local channels kupitia Dish dogo baada kugundua kama hizo local uhai wake mdogo,kwa maana satellite waliyokuwa wamewekwa na Ting kwa lugha nyepesi ilikuwa ni mali ya Ting!!
Awali Ting walikuwa Eutelsat 36A degree 36.0E,ambapo walikuwa sawa na Dstv wale wadau watakuwa wanakumbuka kwakuwa ilikuwa unaweza ukatumia Dish moja kwa kupata Ting na Dstv!!
Sasa wamehamia Amos 5 degree 17.0E wala sio mbali saaana na ilipokuwa awali!
Kama wewe ni fundi haya!
Satellite: Amos 5 - 17 degrees East
Frequency: 12417Mhz
Symbol Rate: 30000Msps
Modulation: 8 PSK
FEC : 2/3
Pilots On
Frequency: 12417Mhz
Symbol Rate: 30000Msps
Modulation: 8 PSK
FEC : 2/3
Pilots On
14 Unasemaje..??:
Nashukuru sana sasa nafurahia maisha!!
Upo juu sana kaka mkuu mungu akubariki kwamaana nilikuwna jamaa yangu alikuwa mchoyo wa maujanja haya lakini sasa nayapata bure kabisa!
Habari kaka!
Nahitaji msaada, decoda yanngu ni Astrovox premier, nilipofungiwa mara ya kwanza ilikuwa inafanya kazi vizuri, niliona channels nyingi hasa za hapa nyumbani. kwa sasa naona imeacha kuonyesha channels zote. nimejaribu kureset lakini wapi.
Msaada
eti kuna mautundu gani kaka maana kuna jamaa anasema anafungua kwa mpeg4 dish ft6 je unafikili ni satlite gani mkuu?
mbona zimekata?
Ama wamebadili frequency tena?
Nimeona siku 2 tu kaka kwa hyo frequency je kuna mabadiliko yeyote?
naomba nijue ntapata wap frequency za agape televion ......npo bukoba nahitaji ku search mannual kwny decoder yangu tafadhari
Naitwa Mpely benn mtumiaji WA Ting. Watoto wamerock king'amuzi nashindwa kuona je utanisaidiaje?
Naomba unisaidie watoto wamerock decoder nisaidie nifungue
Naomba unisaidie king'amuzi changu cha Ting kimerock nifanyeje ili nifungue?
Wadau, mbona kimya
Nashindwa kusearch channel kwenye decorder yangu ya TING, hamna channel hata moja
2016 En Cok Satan Kitaplar En Güzel Yeni Çıkan Kitaplar
Wadau frequency mpya za ting naomba kwa mwenye azo
Post a Comment