Leo ni siku ya mapumziko baada ya kuzitafuta mwaka mzima!
Kwakuwa madish ndio yaliyoleta muunganiko wa issue zangu nyingi hivyo kupumzika bila kuzungumzia ama kugusa kadish hata kamoja itakuwa uongo maana nnachokikubali zaidi kwasasa ni madish na ndo sababu ya kufanya nifanye vizuri zaidi!
Ndugu yangu toka Kibaha alichukua Azam tv kama wiki mbili nyuma,ikawa imebaki kufungiwa tu,akapata safari na akarejea tarehe 31/12/2013 akanicheck kuwa amerudi!!
Kuthamini uwepo wake ukiacha undugu pia ni mteja wetu nikaona nitumie siku hii ya mapumziko kumtembelea na kutekeleza wajibu!!
nilipofika sikumkuta n baada ya muda alirejea,tukapiga story mbili tatu mpaka saa 1 kasoro usiku ndipo nikaanza kazi mpaka saa 2 na nusu NIKACHAPA MWENDO!
0 Unasemaje..??:
Post a Comment