Call / WhatsApp +255755949413

Apr 25, 2014

NDANI YA NAPOLI LODGE

 Mustapha MaDish mzigoni!! Je unamiliki Lodge/Hotel na ungependa kupata channels kwa tv zako zote zilizopo kwa channel safi na zile zinazopendwa!!? Unachopaswa kufanya ni kuchukua simu yako na kubofya no.+255789476655/714973797/659161111 Ongea na Mustapha MaDish...
Share:

Apr 24, 2014

DSTV OFFER!!

Kwa Tsh 129,000/= Technical Director mzigoni! Unapata Dish,Decoder,LNB,Cable mt 20 na Ufungaji! Baada ya hapo unachagua kifurushi ukipendacho kati ya vifuatavyo:- ACCESS TSH 16500/= FAMILY TSH 33,000/= COMPACT TSH 56,000/= COMPACT PLUS TSH 88,000/= PREMIUM TSH 138,000/= KWA...
Share:

CHANNEL ZISIZOONYESHA KWENYE AZAM TV

KUHUSU AZAM TV Wadau, Tunapokea malalamiko kutoka kwenu kuwa chanel za ZBC,K24 na NTV zinaandika ACCESS DENIED. Kuhusu channel hizi za Kenya yaani K24 na NTV,hazitoweza tena kupatikana ndani ya Azam TV kwani tumepaswa kuziondoa kutokana na kutokuwa na haki za kuendelea...
Share:

Apr 23, 2014

NAENDELEA KUWAJUZA WATAALAMU WANGU...

Omary a.k.a smalling tayari anajulikana ila kwa mkono wangu wa kulia nawajuza ambaye hamkuwahi kumuona ama mlimuona ila sikuwa nimemleta rasmi kwenu anaitwa Rashidy a.k.a Mkenya..!! Kushoto ni Omary,katikati hana jina na upande wa kulia ni Rahid...
Share:

Apr 22, 2014

TUNACHOJIVUNIA KWENU.......!!

...kutokana naukweli kwamba siwezi kufanya kila kitu mwenyewe lazima kuwe kuna mgawanyiko wa kazi ili mambo yaende kwa wakati na kwa ubora stahiki ndo sababu ya kuwa na team! Team Kazi,Mustapha MaDish Crew unaweza kutuita Rangers tuna kila sababu ya kujivunia kufanya vizuri...
Share:

Apr 19, 2014

MOJA KATI YA SEMINA MAKAO MAKUU AZAM TV

Ni kawaida kila baada ya muda fulani tunakutana makao makuu na kujadili biashara kwa ujumla inaendaje,nini kipya na wateja mnahitaji nini kwa ujumla ili muendelee kufurahia burudani kwa wote! Mustapha MaD...
Share:

Apr 3, 2014

AZAM TV HUDUMA KWA WATEJA/MSAADA KIUFUNDI

Kila alipaye pesa yake ama anayetaka kulipa anategemea kupata huduma bora na kwa wakati hilo tumelijua vyema na ndo maana tupo hapa kukuhudumia! Mteja kwetu ni mtu muhimu sana hivyo macho yetu mawili ni kwako unayetaka kuhudumiwa nasi! PIGA SIMU NAMBA +255789476655/714973797/659161111...
Share:

Apr 2, 2014

AZAM TV BURUDANI KWA WOTE LIVE!!

Leo usiku saa tatu na dakika arobaini na tano 3:45 kupitia chanel ya NBS utaweza kuangalia mechi ya  Real Madrid Vs Dotmund. Azam TV Burudani Kwa Wo...
Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

4645291

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA WHATSAPP +255755949413