Wadau,
Tunapokea malalamiko kutoka kwenu kuwa chanel za ZBC,K24 na NTV zinaandika ACCESS DENIED.
Kuhusu channel hizi za Kenya yaani K24 na NTV,hazitoweza tena kupatikana ndani ya Azam TV kwani tumepaswa kuziondoa kutokana na kutokuwa na haki za kuendelea kuzirusha nchini Tanzania.
Kwa mujibu wa Wahusika wa hizo chanel,wametutaka tuzitoe na hazipaswi
kuoneshwa nje ya mipaka ya Kenya...poleni kwa usumbufu wowote mliyoupata
na utakaojitokeza.
Kuhusu ZBC sasa imerudi hewani lilikuwa ni tatizo la kiufundi tu lakini sasa limeshashughulikiwa na inaruka kama kawaida.
Azam TV Burudani kwa Wote.
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA NO.+255789476655
Kuhusu ZBC sasa imerudi hewani lilikuwa ni tatizo la kiufundi tu lakini sasa limeshashughulikiwa na inaruka kama kawaida.
Azam TV Burudani kwa Wote.
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA NO.+255789476655
1 Unasemaje..??:
Mbona mmechelewa kusema na ni kwanini mlikuwa mmeweka channel ambazo hamkuwa na uhalali nazo mmeacha mpaka wadau tumezipenda ndipo mnatuambia why!!??
Post a Comment