
Nakumbuka mwaka 2008 niliwahi kupata mteja wa channel hii,tena ilikuwa baada ya mafundi kadhaa kuambulia patupu ikiwa wameshapoteza siku kama si masaa!!
Kipindi hicho niliweza kufanikiwa kuipata kwenye Dish ya ft8,nikimaanisha c band!
Oysterbay jijini dar,wenzangu na mie...