
Pichani ni dish ya Azam tv huku mvua ikiwa inachapa vilivyo...
maana yake ni kwamba ndani hapo picha imepotea...
Kinachotokea kwa Azam tv hata DSTV kinatokea..
Linapokuja swala la mvua Dish ndogo huwa zinaelemewa...
Hivyo kinachotakiwa ni uvumilivu wa muda mchache na...