
Niwe mkweli kwakuwa mimi napenda kwanza muonekano mzuri wa picha hivyo inapozungumziwa HD iwe HD kweli na kama hata isiwe HD lakini muonekano wa picha uwe mzuri, king'amuzi hichi ni moja kati ya ving'amuzi vyenye muonekano wa picha mzuri sana kwa zile channel zote zinazomilikiwa...