Nilichogundua ni kwamba watanzania wengi wanapenda ving'amuzi rahisi,rahisi kwenye kununua na katika ulipaji wa kila mwezi na pindi linapotokea swala la kutokuwa na malipo ya mwezi inakuwa ndio unafuu zaidi,kwasababu wanzania wengi wenzangu na mie...
Hiki hakina malipo ya mwezi kwa mujibu wa wao wenyewe,ukinunua kwa tsh 110,000/=
Inakuwa umemaliza labda gharama yako itazidi ikiwa unahitaji na Antenna.
Hiki nacho sio kama hakina ila kipo hivi,ukinunua unaangalia na kuanza kulipia baada ya miezi 12 yaani mwaka mmoja,ingawaje mpaka sasa malipo hayajaanza kufanyika.
Ya Antenna tsh 75000/=
Ya Dish tsh 105000/=
TULIPOTOKEA....
TING pia haikuwa na malipo ya mwezi ilikuwa ukinunua umenunua,lakini sasa malipo mwanzo mwisho...
MAONI | USHAURI | HUDUMA | +255789476655
MAONI | USHAURI | HUDUMA | +255789476655
2 Unasemaje..??:
Hawa continetal hivi waposerious kweli maana huwa wanapotea mara kwa mara tena bila taarifa vipi
Ni kweli digitek hawatakuwa na malipo milele?
Post a Comment