Hii ni hatua nyengine nzuri zaidi kwangu na kwa wadau wangu wale wa zamani na wapya pia..
Lengo likiwa lile lile kuwaelimisha yote yanayohusu ving'amuzi,kuwaonyesha kilicho bora ili ukiepuke kilicho feki..
Ingawaje kwenye blog hii sijawahi kutoa zawadi ila kipindi kitahusisha zawadi zisizo na idadi..
Utapata kujua undani wa Digital na ving'amuzi kwa ujumla..
Nitaweza kuwasaidia wale wote wenye matatizo ya ving'amuzi bila malipo..
Na kila kipindi kimoja nitakuwa natoa king'amuzi kimoja/ama nakulipia malipo ya mwezi kwa yeyote ambaye atanishawishi kufanya hivyo..
Nategemea kutoa na tv (flat screen ) kwa wadau wangu ambao hawatakuwa na tv,ingawaje hili bado naendelea kulifanyia kazi..
Ingawaje nitaanza na Dar es salaam lakini pia nitakuwa na tour ya mikoa karibu yote Tanzania..
La kufanya ili nafasi hii isikukose ni kufatana na mimi hapa...
Lini show inaanza???
TV gani show ya Mustapha MaDish itarushwa??
Kwa wiki mara ngapi??
Na mengineyo kibao..!!
Fuatana na mimi kupitia blog hii....
Ama kwa facebookMustapha MaDish tv
MUSTAPHA MADISH | mustaphamadish@gmail.com | +255789476655
7 Unasemaje..??:
NISEMME UKWELI MIMI NI MOJA YA WAFATILIAJI WAZURI SANA WA HII BLOG YAKO,AMBACHO NIMENUFAIKA MIMI NADHANI PIA WENGINE WAMENUFAIKA HAPO HAPO KUNA IDADI KUBWA YA WATANZANIA AMBAO WANAHITAJI HUU UFAFANUZI WAKO KUHUSU UDIGITAL.
KULETA KIPINDI NI JAMBO JEMA SANA KWETU KWA MAANA TUTANUFAIKA WENGI ZAIDI HAKIKA MUNGU AKUJAALIE MKUU.
Show hii itawapa ving'amuzi vya bure na kutatua matatizo mengi ya watanzania yanayohusiana na ving'amuzi...
Show hii itawapa fulsa watanzania kuweza kutatua matatizo yao ya ving'amuzi bila malipo yeyote,kizuri zaidi itatoa ving'amuzi visivyo na idadi kwa wale wote watakaojibu maswali vema..
Ili hii show yako ipate kubamba irushe clouds tv
Fanya hivyo mkuu tunangoja,ufike na huku kahama
Show inaanza lini mkuu?
Mkuu hayo ndo ya msingi kipindi na kianze haraka!!
Tunakingoja!!
Post a Comment