Call / WhatsApp +255755949413

Oct 18, 2015

OCTOBER 25 | FANYA KWELI

NAJIVUNIA KUWA MTANZANIA Popote nitasimama na kujivunia kuwa mtanzania mzawa,najivunia lugha yetu kiswahili najivunia na mengi mazuri yaliyopo nchini mwangu,nchi huru ambayo najisikia kufanya chochote wakati wowote pasi tu kuvunja sheria... AMANI  IMESABABISHWA NA UPENDO Ni...
Share:

Oct 15, 2015

ZUKU TV TANZANIA VIFURUSHI NA BEI MPYA

 Tsh 75000/= Unapata king'amuzi kikiwa na muda wa kuona wa mwezi mmoja. Inakuwa na vifaa vyote kama:Dish,Decoder,LNB,Cable na stendi. HII INAKUWA BILA UFUNDI  Kwa sasa kuna vifurushi vinne tu navyo ni kama ifatavyo:- ZUKU CLASSIC TSH 15,500 Per Month - Channels...
Share:

Oct 13, 2015

MIEZI MITATU BURE | TUKIKUHUDUMIA

Ikitokea umekuwa mteja wetu kwa mara ya kwanza tumekufungia king'amuzi chochote kile kati ya hivi:- DSTV STARTIMES ZUKU TV AZAM TV CONTINENTAL Tatizo lolote la kiufundi likitokea ndani ya miezi mitatu tutahusika kwa kukuhudumia pasi kulipia malipo ya ziada ikiwa halijasababishwa...
Share:

Oct 10, 2015

NUNUA KING'AMUZI UKIWA KWAKO

PIGA SIMU +255789476655 Jitambulishe na mahali ulipo. Chagua king'amuzi chochote kwa matakwa yako. Tutakushauri kabla hujanunua king'amuzi ulichokusudia na vyengine kama utapenda. Tutakapofika muafaka unaletewa king'amuzi ulipo. Na fundi anakufungia papohapo kama ukihitaji...
Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA WHATSAPP +255755949413