
Kuna tatizo la baadhi ya makampuni ya ving'amuzi Tanzania kushindwa kutoa taarifa kwa wateja wao kwa wakati kama ikitokea kuna tatizo Fulani au mabadiliko Fulani!
Hii inaathiri sana kimauzo kwakuwa sifa mbaya inakaa muda mrefu na kuvuma kwa haraka kuliko sifa...