
Azam tv, decoder yake yenyewe kama yenyewe haina uwezo wa kugawa kwa tv nyengine kwa kutumia RF Cable kama ilivyo king'amuzi cha DStv, hii imepelekea watumiaji wengi wa Azam tv kushindwa kugawa kwenye tv nyengine ila hii inatokana na uelewa mdogo wa fundi husika, sasa leo tutapeana...