
Hapa ni kwenye jengo la Dar Free Market.
Hizi ni baadhi tu ya dishi zilizopo hapa,kutokana na taaluma tuliyonayo haikupaswa kufungwa dishi zote hizi...!
Awali ilikuwa Antenna zile za kawaida zilikuwa zinaonekana kama uchafu pindi zikaapo nyingi jengo moja,pia...