Unajenga Hotel, Lodge, Apartment Morogoro!!??
Unatafuta Mafundi!?
Tukabidhi jengo lako tukufanyie ufundi huu:-
Security systems - mfumo wa ulinzi
TV systems - mfumo wa tv ( madish )
Domestic electrical - Umeme wa majumbani
IT solutions - suluhisho kwenye mambo ya IT
MUSTAPHA MADISH INSTALLERS - MOROGORO
Tupo Morogoro Mjini tupigie +255777139413
email: mustaphamadish@gmail.com
Whatsapp +255755949413
Wewe ni mmojawapo kati ya wale wanaosumbuliwa na mafundi ama unataka fundi na hujui pa kuwapata mafundi wazuri, wale mafundi kweli!!??
MAFUNDI WA KUFUNGA MIFUMO YA TV.
Inajumuisha Dish aina zote, kufunga tv na kuuza vifaa vyote vinahusika kwenye kufunga mifumo ya tv. Tumebobea zaidi kufunga mifumo ya tv kwenye Hotel/Lodge, Apartment, Ofisini na hata majumbani kisasa na kwa ustadi wa hali ya juu!
Upo Morogoro unatafuta fundi wa Azamtv, upo morogoro unatafuta fundi wa dstv, upo morogoro unatafuta fundi wa startimes au upo morogoro unatafuta fundi visimbuzi/fundi madish kutana na team ya Mustapha Madish Installers sio tu utapata mafundi, kwanza utasikilizwa, utashauriwa na utapata mafundi kweli wenye uzoefu wa zaidi ya miaka 10. Pia utapata visimbuzi vyote, ukitaka kununua visimbuzi vyote, morogoro azamtv, morogoro dstv, morogoro startimes, morogoro mafundi madish.
MAFUNDI WA KUFUNGA MIFUMO YA ULINZI.
Tunahusika na mifumo karibu yote ya kitaalam ya kulinda mali zako na kujilinda binafsi na kwa morogoro tumefungua ofisi ili msisumbuke kutufata dar es salaam. Msimamo wetu ni ule ule kazi bora, bei nafuu! Tunauza na kufunga:- CCTV Cameras - faida ya cctv camera unafatilia matukio, unaweka kumbukumbu, inafukuza wezi n.k. Electric fence - wezi ama kiumbe chochote ambacho hutataka kivuke kuingia ndani hakitaingia hata umeme ukiwa umekatika. Alarm system - hii inatoa tafadhali kama ni moto ama chochote cha hatari. Access control - mfumo wa kisasa wa kuendesha watu wako hususani kwa maofisini. Intercom doorbell - kengele ya kishua, anayegonga sio tu utazungumza nae bali pia utamuona. Motor gate - unaamua ufungue ama ufunge geti lako kupitia remote ama kupitia simu yako! Technology hii morogoro imewafikia. Tunapatikana morogoro mjini tupigie +255777139413
MAFUNDI UMEME WA MAJUMBANI.
Unajenga nyumba yako ama jengo lako huna haja tena ya kutufata dar es salaam, tumekusogezea huduma wakazi wa morogoro tupigie tu +255777139413 huduma zetu tunauza vifaa na kufanya WIRING - una nyumba/jengo unajenga tunachora mchoro na kufanya wiring. AC - tunafunga hususani kwenye majengo. SUBMETER - tunafunga mbadala wa wale wasumbufu wa kununua umeme kwenye nyumba za kupanga.
SULUHISHO LA MAMBO YA IT
Tunafanya networking, Telephone na mambo mengine.