Signal quality tz ni kipindi cha tv chenye kuzungumzia visimbuzi na digital tv kiujumla, chenye segment 3 ambapo kimeanza mtandaoni ( Instagram ) kwenye page ya mustaphamadish kuonekana kwa segment 1 tu isiyozi dakika 5 kila wiki! Baadae itahamia kwenye tv.
Mmiliki ni Mustapha Hanya anajulikana kama mustaphamadish, ambaye ni mbobezi wa mambo ya visimbuzi na digital tv kiujumla, kwa mtandaoni ameanza akiwa anafanya kila kitu mwenyewe, nikimaanisha kuandaa, kushoot na kuedit pia na ndio maana ukiangalia epsode01 ni tofauti na epsode15, kwanini alikuwa anaenda kwa kukua tofauti na alivyoanza!
Lengo la kipindi cha signal quality tz ni kuwafanya wadau na watumiaji wote wa visimbuzi kuujua ulimwengu wa visimbuzi na kufurahia pia!
Unapata fursa ya kuuliza chochote unachotaka kujua, kinachokutatiza, ama kupata msaada wa moja kwa moja na kutoa maoni pia!
Signal quality tz inaruka kila wiki kupitia ( Instagram ) mustaphamadish
Siku za usoni signal Quality tz itaruka kwenye tv na itakuwa na segment 3, itakuwa na dakika 30 hii ndio itakuwa package kamili na itasaidia jamii kwa kiasi kikubwa mno!
Chochote unaweza wasiliana na mustaphamadish
WhatsApp +255755949413 | Email: mustaphamadish@gmail.com
0 Unasemaje..??:
Post a Comment