
Kila kisimbuzi kina CODE yake katika kurahisisha mteja kuweza kujihudumia mwenyewe pasipo kuwasiliana na huduma kwa wateja, kutokana na ukweli kwamba kuna huduma nyengine sio lazima upige simu, hivyo tumia CODE hizi kwa kubofya kwenye simu yako kisha itakuletea muongozo...