Nov 1, 2015Ni moja kati ya makampuni ambayo yanamiliki ving'amuzi aina mbili tofauti kimasafa,nikiwa na maana ya kuwa kuna aina mbili ya Decoder za startimes:
  • StarTimes ya Antenna
  • StarTime ya Dish
Kwa kukurahisishia startimes wakati wanaanza hapa nchini walianza na mfumo wa kutumia Antenna tu,mfumo huu ukawa na lawama nyingi sana katika swala zima la kukatakata kwa picha wakaja kuboresha kwa kuleta na mfumo wa Dish ingawaje hata ule mfumo wa Antenna nao kwa sasa upo vizuri umeboreshwa!

Hivi ndivyo vifurushi vya StarTime:-

KWA KING'AMUZI CHA DISH

1-STARTIMES NYOTA PACKAGE 
Ina channels 22+ bora!
Bei yake ni Tsh 9,000 Kwa mwezi
Bofya hapa kujua channels zilizopo kwenye kifurushi hiki!

2-STARTIMES SMART PACKAGE
Ina channels 55+ bora!
Bei yake ni Tsh 18,000 Kwa mwezi
Tsh 6,000 Kwa wiki
Tsh 1,500 Kwa siku
Bofya hapa kujua channels zilizopo kwenye kifurushi hiki!

3-STARTIMES SPORT PLUS ( Cha ziada )
Ina channels 4+ bora!
Bei yake ni Tsh 14,000
Bofya hapa kujua channels zilizopo kwenye kifurushi hiki!

4-STARTIMES SUPER PACKAGE
Ina channels 89+ bora!
Bei yake ni Tsh 36,000 Kwa mwezi
Tsh 12,000 Kwa wiki
Tsh 3,000 Kwa siku
Bofya hapa kujua channels zilizopo kwenye kifurushi hiki!

5- STARTIMES CHINESE PACKAGE
Inajumuisha kifurushi cha Smart
Ina channels 84+ bora!
Bei ni Tsh 43000
Bofya hapa kujua channels zilizopo katika kifurushi hiki!

6-STARTIMES INDIAN PACKAGE 
Sasa inapatikana kama kifurushi cha ziada
Ina channels 8+ bora!
Bei ni Tsh 18000
Bofya hapa kujua channels zilizopo kwenye kifurushi hiki!

KWA KING'AMUZI CHA ANTENNA

1-STARTIMES NYOTA PACKAGE 
Ina channels 24+ bora!
Bei yake ni Tsh 6,000 Kwa mwezi
Bofya hapa kujua channels zilizopo kwenye kifurushi hiki!

2-STARTIMES MAMBO PACKAGE 
Ina channels 46+ bora!
Bei yake ni Tsh 12,000 Kwa mwezi
Tsh 4,000 Kwa wiki
Tsh 1,000 Kwa siku
Bofya hapa kujua channels zilizopo kwenye kifurushi hiki!

3-STARTIMES UHURU PACKAGE 
Ina channels 70+ bora!
Bei yake ni Tsh 24,000 Kwa mwezi
Tsh 8,000 Kwa wiki
Tsh 2,000 Kwa siku
Bofya hapa kujua channels zilizopo kwenye kifurushi hiki!
Kwa Maelezo zaidi
+255 789 476 655
6:24 AM   Posted by Mustapha Hanya in , , with 29 comments

29 Unasemaje..??:

Anonymous said...

hAPA Umefanya jambo la msingi mkuu shukran

Elimeleck Ndashikiwe said...

Vipi kuhusu channels za michuano ya kimataifa tofauti na ligi? Mtujuze pia3

Anonymous said...

Na vipi kuhusu local channels...nazo zinalipiwa..??

Zuberi Abraham said...

Hili janga sass mimi nataka kununua ila hata cjui nanunua na code zipi kwa airtel money

Anonymous said...


Ninapenda kujua channel ya Emmanuel TV ipo kwa Package gani

Sithole Edwin Mwakatage said...

Nililipa 10000/- katikati ya Mwezi ajabu toka jana imekata!! Nini shida nitalazimika kulipa tena! Manake sasa hivi naona TBC1 na TV1 tu.

Anonymous said...

Mbona nilikuwa nakupgia siwapati

Moses Makalanga said...

Too much promise but poor reality. Nimelipa 10,000 kwa mpesa nataka kuangalia citizens TV bado sipati.

Anonymous said...

Achen utapeli tunalipia inakata kabla ya mwezi halafu zinakata hadi zile local channels ambazo inatakiwa tupate bure

Anonymous said...

mbna nmelipia elfu 10000 ila sipati tbc ,startv ,chanel 10 na clouds

mangu shadrack said...

Hawa jamaa waongo sijapata ona aisehh... Yani nimelipia kakini naona tbc tu utazani mi nimekuwa Nape

edwin B said...

jinsi ya kujiunga kifurushi kwa tgo pesa tafadhali

edwin B said...

naomba msaada jinsi ya kujiunga na kifurushi kwa tigopesa tafadhali.

Fidelis Thomas said...

naomba kujua bei ya king'amuzi cha azam na startimes dishkubwa.

Fidelis Thomas said...

naomba kufahamu bei za decoder za azam na startimes?

mugya mulo said...

Mulo
Bado huduma zenu zinahitaji kuboreshwa. Kuna wakati nililipa sh 10,000 kwa njia ya M-Pesa sikupata huduma kabisa. Baada ya siku chache nikaulizia nikaambiwa zimeshatumika. Tarehe 10 nwezi huu wa Novemba nimelipa 15,000 kupitia M-Pesa, sikupata huduma na bado sijapata. Nilipokwenda Startimes Mwenge wakasema hawajaona fedha hizo. M-Pesa nao wakasema wameshazituma. Naona kuna mchezo mbaya unachezwa baina na makampuni hayo mawili. Mteja - 0756-795674.

Anonymous said...

Tafadhali naomba bei za vifurush vya antenna

Elia Kangele said...

Decoder yangu imezingua mwezi wa kumi, jamaa kuwapigia cm wakadai niende kwa ofisi zao ili wanipe kingine bure kabs. Cha ajaabu wamenitaka niwatoe 30000 ndipo wanipe kingine.yaani wapo nyuma xana kihuduma. Radio hata channel moja hakuna.

Malilo Amani said...

duh

Sasha binkillary94 said...

Awa startimes sijui wakoje instagram nawatumia mitext kibao namikoment kibao jaman boresheni huduma zenu napia channel ya colors na raj tuwekeeni

Fredrick Omollo said...

Mbona channels zinapotea tuu huku. Citizen haipi

Fredrick Omollo said...

Hi, mbona channels mnapoteza ovyo. Na pia mutuongeze channels za kenya kama Nation TV na K24

Luckford Kishia said...

Local package ndo kifurushi gani?

Anonymous said...

mbona sijaona NAT GEO WILD inapatikanaje?

chinoXL said...

decoder ya antenna wameweka channels nyingi kuliko decoder ya Dish,alf kwenye decoder ya Dish wame jaza channels za kiChina na wa Indi...wtf??

chinoXL said...

decoder ya antenna wameweka channels nyingi kuliko decoder ya Dish,alf kwenye decoder ya Dish wame jaza channels za kiChina na wa Indi...wtf??,SI TUNATAKA MOVIE ZA HOLLYHOOD SIO NOLLYWOOD i regreat kweli kununua hi decoder ya Dish ya star times aise..

Anonymous said...

Mbona nimelipa 6000 kwa maxmalipo naambiwa ni siku tatu wakati ilikua meexi vipi

Anonymous said...

Habar king'amuzi changu cardno 0235085061 nakilip pesa ziningia chaajabu kimelokiwa nafanyajess

Cyber Secure said...

Cyber Fire and Security now offer a superb range of CCTV products to our customers, as well as a first rate installation service, affordable CCTV installers London around areas to keep business and communities safe.

CCTV Installers London
CCTV installation London
Burglar alarms London
CCTV installers London
CCTV Companies London
CCTV cameras London

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search