Call / WhatsApp +255755949413

Nov 2, 2010

DISEQC SWITCH......!!

Kifaa ambacho kinaunganisha LNB ama Dish zaidi ya moja,kuingiza channel kwenye Receiver m...
Share:

MULTI SWITCH........!!!!

Ni kifaa ambacho kinaunganisha Receiver/Decoder zaidi ya moja kwa kutumia Dish moja.Multi switch zipo aina mbili ambazo zinatumia umeme na zisizotumia umem...
Share:

FAKE'S NOT CHEAP....!!

Siku zote napenda kuona naongeza idadi ya wateja,hii inategemea na huduma nitoazo kwa wateja zetu ambao ndo wanakuwa wajumbe wazuri kwa kuwashawishi wengine kuja kwetu. Kuna wateja ambao ukiwapa bei ya kifaa Original hafikirii x2 hutoa bila wasi wasi wowote kutokana na either mtu aliyemuelekeza ama imani yake kwetu na maelezo aliyoyapata awali. Wapo...
Share:

Nov 1, 2010

EAST TV TANZANIA

 Easy TV Tanzania ni kampuni ambayo si ngeni sana Tanzania ila kiukweli nimegundua watu wengi hawaifahamu kutokana na ukweli kwamba hawajajitangaza kikamilifu huku wengine wakidhani kama hawako serious na kazi,ila ukweli ni kwamba hawa jamaa wapo serious na wanaendelea...
Share:

Dish cable

  Kuna ambacho wengi hawakijui kama si kuchanganya,cable ya antenna ya kawaida na cable ya dish ni sawa kwa macho na kazi ila ni tofauti kwa quality,ambapo cable ya dish ipo high quality kutokana na mzigo unaobeba tofauti na cable ya antenna ambayo ipo low quality kwasababu...
Share:

Oct 19, 2010

MAFUNDI DISH AINA ZOTE

UNAHITAJI MAFUNDI WA KUFUNGA DISH KWA CHANNEL ZA BURE AMA KULIPIA!? Upo mkoa gani,swali la kwanza la mimi kutaka kujua! Kama upo Dar es salaam utapata fulsa ya kuhudumiwa nami ama moja ya wataalam wangu ila kama upo nje ya Dar es salaam nitakuunganisha na mafundi wenzetu walio katika mikoa hiyo na utapata huduma kanakwamba umehudumiwa na Mustapha...
Share:

Oct 10, 2010

Sanaa Mapenzi Yangu!!

Sifanyi sababu fulani anafanya ingelikuwa hivyo kitaambo ningelikuwa miongoni mwao,ila mapenzi yangu toka ku moyo zaidi ya yote Vipaji nilivyojaaliwa nataka kuvitendea haki. Kimbia ukimbiavyo lakini mi nanyata so kama huna pumzi ntakukuta na kukuacha njiani,ntafika nikikungoja kukukaribisha lakini kamwe huwezi kuiba kipaji cha mt...
Share:

GERAFFE VIEW HOTEL - DAR

Kwenye ukumbi ambao upo baharini wanapaita JET 1,kilichotakiwa hapa ni kufunga Flat Screen na Dstv,nami bila hiyana kama kawaida ile mikono salama ukafanya yake! * Geraffe View Hotel (DSTV)  Katika ukumbi huu wa JET 0ne As usually.  Nafunga...
Share:

Easy TV

Kwa Tsh 200,000/= Unapata na miezi mitatu bure!! Inajumuisha Decoder,Antenna,Cable na Installations! Kwa mwezi unalipia 9000/= unapata jumla ya Channels zote! EASY TV ina jumla ya channels 32 ila zinazoonyesha ni 30 tu. Movie 1 Movie 2 Movie3 Movie Arabic Aljazeerah CNN BBC CCTV4 UBC Citizen TBC...
Share:

LOCAL CHANNELS

FULL INSTALLATIONS  In Hotel.Apartment.Office.Home Materials:               1.Receiver               2.Satellite Dish Antenna c band              ...
Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA WHATSAPP +255755949413