Tunakuhakikishia ubora na ndo maana tunathubutu kusema huduma zetu ni zaidi ya malipo yako......
Nov 2, 2010
Popote ulipo tunakuja na popote utakapo tunafunga.

Haijarishi wapi ulipo ila ukituhitaji tunakuja na kukufungia ama kukurekebisha,....!!
usiogope kama nyumba yako ni ya udongo tunazo njia za kukufanya nawe ukaenjoy kama upo masaki katika fukwe za bahari......
DISEQC SWITCH......!!

Kifaa ambacho kinaunganisha LNB ama Dish zaidi ya moja,kuingiza channel kwenye Receiver m...
MULTI SWITCH........!!!!

Ni kifaa ambacho kinaunganisha Receiver/Decoder zaidi ya moja kwa kutumia Dish moja.Multi switch zipo aina mbili ambazo zinatumia umeme na zisizotumia umem...
FAKE'S NOT CHEAP....!!
Siku zote napenda kuona naongeza idadi ya wateja,hii inategemea na huduma nitoazo kwa wateja zetu ambao ndo wanakuwa wajumbe wazuri kwa kuwashawishi wengine kuja kwetu.
Kuna wateja ambao ukiwapa bei ya kifaa Original hafikirii x2 hutoa bila wasi wasi wowote kutokana na either mtu aliyemuelekeza ama imani yake kwetu na maelezo aliyoyapata awali.
Wapo...
Nov 1, 2010
EAST TV TANZANIA

Easy TV Tanzania ni kampuni ambayo si ngeni sana Tanzania ila kiukweli nimegundua watu wengi hawaifahamu kutokana na ukweli kwamba hawajajitangaza kikamilifu huku wengine wakidhani kama hawako serious na kazi,ila ukweli ni kwamba hawa jamaa wapo serious na wanaendelea...
Dish cable

Kuna ambacho wengi hawakijui kama si kuchanganya,cable ya antenna ya kawaida na cable ya dish ni sawa kwa macho na kazi ila ni tofauti kwa quality,ambapo cable ya dish ipo high quality kutokana na mzigo unaobeba tofauti na cable ya antenna ambayo ipo low quality kwasababu...
Oct 19, 2010
MAFUNDI DISH AINA ZOTE
UNAHITAJI MAFUNDI WA KUFUNGA DISH KWA CHANNEL ZA BURE AMA KULIPIA!?
Upo mkoa gani,swali la kwanza la mimi kutaka kujua!
Kama upo Dar es salaam utapata fulsa ya kuhudumiwa nami ama moja ya wataalam wangu ila kama upo nje ya Dar es salaam nitakuunganisha na mafundi wenzetu walio katika mikoa hiyo na utapata huduma kanakwamba umehudumiwa na Mustapha...
Oct 10, 2010
Sanaa Mapenzi Yangu!!
Sifanyi sababu fulani anafanya ingelikuwa hivyo kitaambo ningelikuwa miongoni mwao,ila mapenzi yangu toka ku moyo zaidi ya yote Vipaji nilivyojaaliwa nataka kuvitendea haki.
Kimbia ukimbiavyo lakini mi nanyata so kama huna pumzi ntakukuta na kukuacha njiani,ntafika nikikungoja kukukaribisha lakini kamwe huwezi kuiba kipaji cha mt...