
Ilikuwa ijumaa tulivu sana na kwa siku hii nilianzia hapa Giraffe hotel katika sehemu iitwayo jety 1, hapa nili install DSTV na mambo kuwa mazuri..!!
Kwa wale wasiopajua hapa ni Dar maeneo ya mbezi beach Africana katika hotel iitwayo giraffe kuna ukumbi ambao upo baharini...