Call / WhatsApp +255755949413

May 1, 2011

HOUSE'S TOO CHEAP FOR SALE AT MBEZI LUIS..!!

NYUMBA INAUZWA MBEZI LUIS KWA FUNGO MIL.45   Muonekano kwa nje.    Kwa uwani ndani ya uzio.                                               ...
Share:

Nawatakia sikukuu njema wajenga nchi wenzangu !

Leo ni tarehere 1 mwezi wa 5,kila tarehe hii imekuwa tunasherehekea sikukuu ya wafanyakazi,lengo na madhumuni ni kuthamini uwepo wa wafanyakazi na kukutana pamoja kuonyesha na kuzunguza ambayo yanaweza yakatupa changamoto wafanyakazi wa kila idara,huu ni mtazamo wangu kwa upeo wangu mdogo nilionao juu ya siku hii ya leo,pengine wewe unajua zaidi ya...
Share:

Apr 9, 2011

CARs FOR SALE....!!!

 Starlet Mil.4,500,000  Noah Mil.13,500,000  Vitz Mil.6,500,000  Spacio Mil.8,600,000 GX110 Mil.13,500,000 For more informations call us +255659937711,mustaphamadish@gmailcom. Pia tuna gari aina mbali mbali....
Share:

Mar 15, 2011

DISH INAPOTUMIKA NA WAJENZI....!!

Hilo hapo chini ni Dish Antenna aina ya c band,unaweza ukasema pengine anashughulika ili watu waone picha but c kama udhaniavyo...!!  Mimi niliishia hapa ila kilichoendelea nadhani hata wewe mwenyewe unapata picha...!!...
Share:

Feb 3, 2011

AJALI WAJAMENI...!!

 Kilichotokea hapa hakuna anayejua,hii nimeipata katika pita pita zangu mtandaoni lakini dah..!!hapa inavyoonyesha jamaa hakuweza hata kutumia kama paa matokeo yake alienda kupima kule kwenye vyuma chakavu..!!&nb...
Share:

Jan 20, 2011

Poleni sana wadau....!!

Baada ya mbio za mbali na nyumbani sasa nimerejea kama kawaida...!! Huku nikiwa nimeona na kujifunza meengi,kiukweli nimeongeza vitu vingi kwa muda mchache ambapo awali nilikuwa sina mawazo hayo,naomba niishie hapa najipanga ili tuweze kushea kile ambacho nimepata.....!!! Zaidi...
Share:

Jan 10, 2011

nimewamiss sana wajameni...!!

ebwana dah....!! Kitambo kidogo sipatikani hewani kwa no.za tz huku wengi nikiwapa shida jinsi ya kunipata na lawama zikiwa zimejaa gunia..!! Nipo sehemu ambayo ni nadra sana kukutana na mtu mwenye ngozi kama yangu nyeusi,pia kiswahili ndicho hakisikiki kabisaaa...!! Ila ni mbio tu i wish nitakuwa home soon banaa......
Share:

Dec 29, 2010

Mbio za funga mwaka ndani ya bwaga moyo.....!!

Tunahesabu siku tu kuelekea mwaka mupya mupya kabisa 2011,huku tukiumalizia malizia mwaka huu 2010,ukiniacha na kumbukumbu nzuri ya kusherehekea siku yangu ya kuzaliwa kwa namba za kipekee ambazo kamwe hazitajirejea 10.10.10 maana nilizaliwa miaka kadhaa nyuma ikiwa ni tarehe 10 mwezi wa 10.Tukiyaacha hayo leo nipo bwagamoyo na nadhani nitakuwepo huku...
Share:

Dec 28, 2010

Kuelekea 2011 yapi mazuri na ya kupongeza 2010....!!

Kwa kuanza tu naweza nikasema kwa mwaka huu 2010 ni mwaka mgumu sana hasa kwa vijana,yananitoka haya kutokana na mazungumzo yao pale unapokaa nao,maana wenyewe wanakwambia hakuna njia kama milango inazidi kufungwa ili watu wasitoke,hivyo kipindi wao wanasema hivyo sijui wewe unasema aje kuhusu mwaka huu unaoishia.....!!Upande wa kazi banaa jua halikuwa...
Share:

Dec 26, 2010

Boxing day nime7babisha like this......!!!

Ikiwa ni siku 1 baada ya kusherehekea sikukuu ya x-mass,kilichofuata ni kupeana zawadi kwa kwenda mbele nami nina wangu wa kuwapa banaa...!!Unadhani zawadi kwangu itakuwa ni nini kama si ku7bisha ili wengine wafurahie na familia zao na maisha yaweze kusonga mbele kama ilivyo...
Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

4651003

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA WHATSAPP +255755949413