Hii inaitwa Multiswitch na mara nyingi hutumika mahotelini ama kwenye Apartment au hata kwenye nyumba binafsi,ila kazi yake ni kugawa Receiver zaidi ya moja kama uonavyo hapo,hizo cable zote zimeingia kwenye receiver.......
May 3, 2011
Hapa hakuna kinachoonekana kamwe....!!

Satellite Dish ya aina yeyote ukiiona imezibwa hivi jua ya kuwa hakuna kinachoonekana kwenye TV,kwa sababu tunaposet huwa tunalenga kwenye Satellite husika hivyo lazima kuwe na mawasiliano baina ya Dish na Satellite kwa mtindo wa kulenga,hivyo ikizibwa maana yake ni kukata mawasiliano...
May 1, 2011
KOTA ZA BANDARI ILIKUWA BWAAA...!!

Ufundi banaa huzidiana yaani kama ubabe...!!Mbabe wako ndo mnyonge wangu n hilo halina ubishi na ndivyo ilivyotokea hapa..!!Jamaa alipewa issue ya kuhamisha Dish toka maeneo ya K'koo na kuhamishia Kulasini katika kota za Bandari,Dish ilikuwa ni ya c band zile kuuubwa...
HOUSE'S TOO CHEAP FOR SALE AT MBEZI LUIS..!!

NYUMBA INAUZWA MBEZI LUIS KWA FUNGO MIL.45
Muonekano kwa nje.
Kwa uwani ndani ya uzio. ...
Nawatakia sikukuu njema wajenga nchi wenzangu !
Leo ni tarehere 1 mwezi wa 5,kila tarehe hii imekuwa tunasherehekea sikukuu ya wafanyakazi,lengo na madhumuni ni kuthamini uwepo wa wafanyakazi na kukutana pamoja kuonyesha na kuzunguza ambayo yanaweza yakatupa changamoto wafanyakazi wa kila idara,huu ni mtazamo wangu kwa upeo wangu mdogo nilionao juu ya siku hii ya leo,pengine wewe unajua zaidi ya...
Apr 9, 2011
CARs FOR SALE....!!!

Starlet Mil.4,500,000
Noah Mil.13,500,000
Vitz Mil.6,500,000
Spacio Mil.8,600,000
GX110 Mil.13,500,000
For more informations call us +255659937711,mustaphamadish@gmailcom.
Pia tuna gari aina mbali mbali....
Mar 15, 2011
DISH INAPOTUMIKA NA WAJENZI....!!

Hilo hapo chini ni Dish Antenna aina ya c band,unaweza ukasema pengine anashughulika ili watu waone picha but c kama udhaniavyo...!!
Mimi niliishia hapa ila kilichoendelea nadhani hata wewe mwenyewe unapata picha...!!...
Feb 3, 2011
AJALI WAJAMENI...!!

Kilichotokea hapa hakuna anayejua,hii nimeipata katika pita pita zangu mtandaoni lakini dah..!!hapa inavyoonyesha jamaa hakuweza hata kutumia kama paa matokeo yake alienda kupima kule kwenye vyuma chakavu..!!&nb...
Jan 20, 2011
Poleni sana wadau....!!

Baada ya mbio za mbali na nyumbani sasa nimerejea kama kawaida...!!
Huku nikiwa nimeona na kujifunza meengi,kiukweli nimeongeza vitu vingi kwa muda mchache ambapo awali nilikuwa sina mawazo hayo,naomba niishie hapa najipanga ili tuweze kushea kile ambacho nimepata.....!!!
Zaidi...
Jan 10, 2011
nimewamiss sana wajameni...!!
ebwana dah....!!
Kitambo kidogo sipatikani hewani kwa no.za tz huku wengi nikiwapa shida jinsi ya kunipata na lawama zikiwa zimejaa gunia..!!
Nipo sehemu ambayo ni nadra sana kukutana na mtu mwenye ngozi kama yangu nyeusi,pia kiswahili ndicho hakisikiki kabisaaa...!!
Ila ni mbio tu i wish nitakuwa home soon banaa......