Ilikuwa Alihamisi na Ijumaa nilikuwa
pale maeneo ya Bahari beach,wenyewe wanapaita njia panda ya kwenda
bahari beach hotel dar es salaam,hapa kuna lodge moja ya kisasa safi
sana inaitwa BAHARI LODGE..!!
Issue
ilikuwa Local hazionyeshi kwa TV zote nami nilihitajika...
May 28, 2011
May 26, 2011
ARABISAT..!!
Jana nilikuwa maeneo fulani hivi wanapaita mwinyimkuu magomeni,hapa nilisababisha channels za kiarabu kama zijulikanazo ARABISAT kwenye dish ya c band ft6 na mzee alizipata channels hizi zifuatazo maana ndo mahitaji yake:-
JSC
Syrian TV
Southern Sudan
AD Alouta
Oman TV
Kuwait TV
Saudi TV
Qatar TV
Sharjah TV
Saud-Quran
Sudan TV
Saud-Sunnah
TVE-Internacional
Baada...
May 19, 2011
MWENDO NI ULE ULE...!!

Wa nyumba hadi nyumba jengo hadi jengo ilihali dunia tunaileta nyumbani kwako ukiwa TV yako hata kama black n white utaifurahia...!!
Hapa ni maeneo ya sinza hapa nimeacha channel za gospel zikiendelea kama kawa ila usitishike na hiyo lebo ya DSTV ni...
May 16, 2011
UNAILINDA VIPI DISH YAKO NA MVUA..??

Ni jambo la kawaida mtu kulinda chake ili kidumu milele,hapa tunaweza kuona jambo ambalo watu wengi ambao wanamiliki madish wanapenda kulifanya kwa kuzuia mvua.....!!Je wewe unalindaje dish lako...??
...
TUHESHIMIANE JAMANI....!!!

Ni kawaida ya kuwa mtu ukifunga dish lazima nyumba iwe na hadhi fulani hivi ila kwa hapa tutaenda sawa tu ukiambiwa uishi upendavyo huku machannel ya kitu cha Dish yakipatikana kama hivyooo uonavyo....!!
...
May 14, 2011
May 11, 2011
Mwanaume anasifiwa kazi...!!

Matembezi kwetu ni kama kawaida,hapa tumerejea tena kwa mdada mmoja hivi yupo maeneo ya Mbezi sala sala n mambo yakawa mswano,kana kwamba tunabomoa kumbe ndivyo twatengeneza...!!
Hii ni twin KU lnb kwa ajili ya channel za Gospel.
Hii ni twin KU na twin C BAND,maana...
May 10, 2011
Nyumbani kwangu pia...!!

Icje ikawa ikawa kama fundi nanii yeye anatengenezea wenzie vitanda hali ya kuwa yeye analala chini...!!
Hii ni dish ya DSTV na hapa ni nyumbani kwangu ambapo napata usingizi,hivyo nami maisha yanaendelea kama ambao nawafungia hayo madish....
May 8, 2011
WEEK END KWETU HAINA TOFAUTI NA MONDAY..!!

Week end kwetu ni kama Monday vile maana mbio ndizo zilezile,7bu tupo kwa ajili ya kuwafurahisha wengine,huku yetu yakituendea vema...!!
Hapa ni katika J2 ya leo maeneo ya kulasini nishauza hapo na sasa naelekea sehemu moja wanapaita Tabata pale maeneo ya swiz pub.....
May 7, 2011
WENYE KUMBI ZA KUONYESHA MPIRA KUPITIA DSTV IMEKULA KWAO...!!!

Ni kilio cha watanzania wengi pande mbili kwa wakati mmoja,namaanisha kwa wale wapenzi wa mpira ligi za nje na wale wamiliki kumbi hizo...!!MULTICHOICE TANZANIA ( DSTV ) kwa sasa ipo katika operations ya kuwafungia wale wote ambao walinunua DSTV kwa matumizi binafsi matokeo...