Call / WhatsApp +255755949413

May 31, 2011

TRANSIT MOTEL Ukonga kama kawa kama dawa...!!

 Ilinichukua siku mbili kufanya nilichofanya na kuacha TV za vyumba vyote zikiwa clear kabisa..!! Inaitwa TRANSIT MOTEL hii ipo ukonga pale njia panda ya kwenda segerea..!!  Hiki ni chumba kimojawapo kati ya vyote nilivyopita pita na kuacha TV za vyumba vyote...
Share:

May 29, 2011

TUNAUZA | TUNAFUNGA | TUNATOA USHAURI | VING'AMUZI

DISH NA VING'AMUZI AINA ZOTE. PIGA:+2557149737...
Share:

FLAT SCREEN NA TV BRACKET..!!

Mwezi huu tunaumalizia huku kukujuza umuhimu wa flat screen na tv bracket,pengine waweza ikawa wewe ni mmojawapo kati ya wale wanaoshangaa inakuwaje tv inaganda ukutani..!! Tv inafungwa ukutani kwa kutumia tv bracket,tv bracket inakamata ukuta kwa kudrill na tv husika kwa...
Share:

May 28, 2011

BAHARI LODGE nimesababisha..!!

Ilikuwa Alihamisi na Ijumaa nilikuwa pale maeneo ya Bahari beach,wenyewe wanapaita njia panda ya kwenda bahari beach hotel dar es salaam,hapa kuna lodge moja ya kisasa safi sana inaitwa BAHARI LODGE..!! Issue ilikuwa Local hazionyeshi kwa TV zote nami nilihitajika...
Share:

May 26, 2011

ARABISAT..!!

Jana nilikuwa maeneo fulani hivi wanapaita mwinyimkuu magomeni,hapa nilisababisha channels za kiarabu kama zijulikanazo ARABISAT kwenye dish ya c band ft6 na mzee alizipata channels hizi zifuatazo maana ndo mahitaji yake:- JSC Syrian TV Southern Sudan AD Alouta Oman TV Kuwait TV Saudi TV Qatar TV Sharjah TV Saud-Quran Sudan TV Saud-Sunnah TVE-Internacional Baada...
Share:

May 19, 2011

MWENDO NI ULE ULE...!!

 Wa nyumba hadi nyumba jengo hadi jengo ilihali dunia tunaileta nyumbani kwako ukiwa TV yako hata kama black n white utaifurahia...!! Hapa ni maeneo ya sinza hapa nimeacha channel za gospel zikiendelea kama kawa ila usitishike na hiyo lebo ya DSTV ni...
Share:

May 16, 2011

UNAILINDA VIPI DISH YAKO NA MVUA..??

 Ni jambo la kawaida mtu kulinda chake ili kidumu milele,hapa tunaweza kuona jambo ambalo watu wengi ambao wanamiliki madish wanapenda kulifanya kwa kuzuia mvua.....!!Je wewe unalindaje dish lako...?? ...
Share:

TUHESHIMIANE JAMANI....!!!

 Ni kawaida ya kuwa mtu ukifunga dish lazima nyumba iwe na hadhi fulani hivi ila kwa hapa tutaenda sawa tu ukiambiwa uishi upendavyo huku machannel ya kitu cha Dish yakipatikana kama hivyooo uonavyo....!!  ...
Share:

May 14, 2011

Hakuna kinachoshindikana...!!

...
Share:

May 11, 2011

Mwanaume anasifiwa kazi...!!

Matembezi kwetu ni kama kawaida,hapa tumerejea tena kwa mdada mmoja hivi yupo maeneo ya Mbezi sala sala n mambo yakawa mswano,kana kwamba tunabomoa kumbe ndivyo twatengeneza...!! Hii ni twin KU lnb kwa ajili ya channel za Gospel.   Hii ni twin KU na twin C BAND,maana...
Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

4645647

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA WHATSAPP +255755949413