Ni kawaida kila ikikaribia msimu wa kandanda ama kukiwa na sikukuu DSTV hutoa OFFER kwa wateja wake ambao wanahitaji kujiunga na huduma zao!!
Now ndo muda umewadia kwa wale wote ambao wanataka kujiunga na DSTV na walikuwa wanangoja time hii ya offer imewadia wale mabingwa wa maswali jibu ndo hili kuhusu urahisi wa kujiunga na DSTV!
Wala usipate...
Jul 21, 2013
Jul 20, 2013
EMANUEL TV IMENIPELEKA KUNDUCHI 170

Jumapili tulivu hali ya hewa ikiwa haieleweki mara jua mara kiwingu na manyunyu yakichukua nafasi!
Panaitwa Kunduchi ila wenyeji wanapaita Kunduchi 170,hapa ilikuwa wanaona DSTV awali ila kutokana na maamuzi yao wakataka DSTV igeuke na kuwa Emanuel tv nami nikaona hakuna...
Jul 18, 2013
KAZI YANGU KUKUFURAHISHA WEWE!

Kama kawa kama dawa ndo ambacho naweza kusema kwa wakati huu!
Hapa ni maeneo ya Urafiki njia panda pale ya kwenda mabibo!
Hapa Local ilikuwa inasumbua na DSTV pia,hivyo kilichotakiwa nikifanye ndo nikafanya na kuwaacha wenyeji wakicheka cheka tu!
Nikachukua vyangu...
Jul 15, 2013
JUMLA YA CHANNEL 6 TU ZA TANZANIA KWA TV ZAIDI YA 50!

Je wajua unaweza kufunga idadi ya channel utakazo kwa idadi ya tv zako na kila tv ikajitegemea kubadili na kuangalia channel uipendayo pasi kuingiliana na tv nyengine!
Hii x nyingi inafanyika maofisini,mahotelini ama kwenye Apartment ila hata popote upendapo unaweza...
Jul 14, 2013
CHANNEL ZA TANZANIA ZINAKAZIA SWAUMU!

Hapa nawatafuta Watanzania
Yap ni siku nyengine tena tunaamshwa vema na muumba nikiwa na afya njema na nafanya yangu kama kawa!
Nimeamkia sehemu moja wanapaita sinza,hapa nilitakiwa kufanya channel za Local zionekane vema na ndo nilichofanya ingawaje kwa channel za...
Jul 12, 2013
EMANUEL TV channels zaidi ya 50 BURE!!

Inatumia dish ndogo lugha ya kitaalamu inaitwa KU,unapata kuona channel zifuatazo ila nyingi zikiwa za gospel.Vifaa vinavyokamilisha set hii ni:-lnb KU,Receiver,Dish KU,Cable,F connectors.
Channel ZN
CNTV
ACNN
My tv promo
Celebration TV
Bethesda TV
CVV
Omega
ACBN
Chosen...
Jul 5, 2013
BAHARI BEACH LODGE TENA!

Kumbu kumbu yangu ni siku kadhaa nyumba nilifanya ya kupendeza na ndo sababu iliyopelekea nikaitwa tena leo!
Kazi ilikuwa si kubwa sana ijapokuwa kwa asiyejua angemaliza hata mwaka na asingeambulia kitu!
Hapa DSTV ilikuwa time ya jioni inapoteza signal,ila wakati wa asubuhi...
Jun 30, 2013
CNN!! ZAIDI YA CHANNEL 50 BURE!!
Matakwa ya mteja ndo wajibu wangu kila siku maana nipo kwa ajili ya kukufanya wewe upate furaha kwa unachokihitaji!!
Alinipigia simu na shida yake ilikuwa kupata CNN na BBC free kama inawezekana maana yeye hataki mambo ya kulipia lipia!Nikamwambia inawezekana tena zaidi ya hizo anazozitaka yeye!Nikatumia Dish ft 6 na LNB KU pale muda c muda channels...
Jun 29, 2013
TRANSIT MOTEL TENA!

TRANSIT MOTEL AIRPORT
Nilianzia pale uwanja wa ndege na kisha nikaenda fanya ya kupendeza palee njiapanda ya sitakishari!
Kazi
niifanyayo ndo inapelekea mwengine akosolewe maana huwa lazima mteja
awe nae kama fundi penye tatizo namsomesha mpaka anaelewa n...
Jun 28, 2013
ARABSAT IMENIPELEKA MWANDEGE!

HAPA NATAFUTA WAARABU
Sikuwahi kufika wala kutarajia kufika kabla ila kwasababu wewe ndo wa kufanya niende popote hivyo sina pingamizi na najivunia kazi yangu maana faida ya pili kuijua Tanzania kwa vitendo!
Kwa wenyeji wanasema Mwandege ni nje kidogo mwa mkoa wa...