Call / WhatsApp +255755949413

Aug 10, 2013

Karibu na ubarozi wa Ufaransa!

+255789476655 Muda ambao vijana wenzangu wanatumia mtandao kupiga soga na kupotoshana mi kwangu ipo tofauti sana tena sana maana kila kukicha naongeza idadi ya marafiki si kupiga piga soga zisizo na maana bali kufanya haya ya kupendeza na hapa nimefika kutokea mtandaoni u...
Share:

Aug 8, 2013

ALJAZEERA SPORTS

Maswali yamekuwa mengi mkiniuliza mnawezaje kupata Decoder za Aljazeera sports ila jibu huwa nalitoa moja tu kama ilivyo kwa Abudhab Sport pale awali...!! Hii kampuni haina wakala hapa bongo na kama yupo mi simfahamu maana kila ninyemfungia anakuwa anaagiza mwenyewe...
Share:

Jul 30, 2013

Op.MWALIMU JK NYERERE P.SCHOOL

Maeneo ya Mbezi Beach maeneo maeneo hivi yaliyo tulivu sana kwa lugha nyepesi kwa kishua!!Kuna shule ijulikanayo kama MWALIMU JK NYERERE,sasa mimi nilihitajika kwenye nyumba ambayo inatazamana na hii shule,hapa kilichotakiwa mimi nifanye ni kufunga DSTV EXTRA VIEW....!!Kama kawa kama dawa nikapewa nafasi nami nikafanya yangu ila hapa ilinichukua siku...
Share:

Jul 28, 2013

ZUKU TV TANZANIA

Offer Tsh 75000/= na mwezi mmoja bure! Bila ufundi. Ina zaidi ya channel 100! Package za zuku:- Zuku classic Tsh 15,500/= channels 69 Zuku premium Tsh 22,500/= channels 100 Zuku asia Tsh 24,000/= channels 27 Kujua Channels zote zilizo kwenye zuku tv:- BOFYA HAPA  +255789476655 Mobile:...
Share:

Jul 24, 2013

MKOA PWANI WANAPAITA MKULANGA NILIHITAJIKA!!

Hapa banaa ilikuwa nawezaje kufunga dish na nikapeleka tv mbili vyumba tofauti na kila tv inajitegemea kubadili channel aipendayo muhusika anayeangalia tv hiyo! Mbona si kazi kama mawazo ya wengine yalivy! Mahitaji Dish husika kwa kuwa waarabu ndio waliohitajika ni c band...
Share:

Jul 22, 2013

CHANNEL ZILIZO KWENYE CONTINENTAL DECODER

Channel zinazopatikana katika Decoder ya Continental ni hizi hapa ingawaje hapa sijaorodhesha zote, pindi uhakiki utakapofanyika zote zitaorodheshwa hapa:- Star e+ Star bun Star tv ge Star Movies+ Morning Star tv Star Muzik Afro Culture ITV EATV TBC Channel...
Share:

Jul 21, 2013

OFFER YA DSTV KWA 149,000/=

Ni kawaida kila ikikaribia msimu wa kandanda ama kukiwa na sikukuu DSTV hutoa OFFER kwa wateja wake ambao wanahitaji kujiunga na huduma zao!! Now ndo muda umewadia kwa wale wote ambao wanataka kujiunga na DSTV na walikuwa wanangoja time hii ya offer imewadia wale mabingwa wa maswali jibu ndo hili kuhusu urahisi wa kujiunga na DSTV! Wala usipate...
Share:

Jul 20, 2013

EMANUEL TV IMENIPELEKA KUNDUCHI 170

Jumapili tulivu hali ya hewa ikiwa haieleweki mara jua mara kiwingu na manyunyu yakichukua nafasi! Panaitwa Kunduchi ila wenyeji wanapaita Kunduchi 170,hapa ilikuwa wanaona DSTV awali ila kutokana na maamuzi yao wakataka DSTV igeuke na kuwa Emanuel tv nami nikaona hakuna...
Share:

Jul 18, 2013

KAZI YANGU KUKUFURAHISHA WEWE!

 Kama kawa kama dawa ndo ambacho naweza kusema kwa wakati huu! Hapa ni maeneo ya Urafiki njia panda pale ya kwenda mabibo! Hapa Local ilikuwa inasumbua na DSTV pia,hivyo kilichotakiwa nikifanye ndo nikafanya na kuwaacha wenyeji  wakicheka cheka tu! Nikachukua vyangu...
Share:

Jul 15, 2013

JUMLA YA CHANNEL 6 TU ZA TANZANIA KWA TV ZAIDI YA 50!

 Je wajua unaweza kufunga idadi ya channel utakazo kwa idadi ya tv zako na kila tv ikajitegemea kubadili na kuangalia channel uipendayo pasi kuingiliana na tv nyengine!  Hii x nyingi inafanyika maofisini,mahotelini ama kwenye Apartment ila hata popote upendapo unaweza...
Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

4645639

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA WHATSAPP +255755949413