Call / WhatsApp +255755949413

Sep 3, 2013

TOKA AFRICANA KWENDA SALASALA

+255789476655/659161111/714973797 Ukija kwenye swala la kuhama toka nyumba moja mpaka nyengineni ni jambo la kawaida sana kuhama na Dish yako iwe ya DSTV ama ya kawaida yeyote ile unahama nayo na channel zako zile zile ama zinaweza kuzidi kama ulikuwa hujui!!!! Ambacho wengi...
Share:

Sep 1, 2013

CHANNEL ZA TANZANIA KWENYE DISH NDOGO

Awali ilikuwa huwezi kupata Local channel mpaka ufunge dish ya c band yaani dish kubwa,lakini sasa mambo ni tofauti kwani unaweza kupata Local channel kwa kutumia kadish kadogo (KU) na lnb ya ku,isipokuwa Receiver ni lazima utumie ya MPEG4 tofauti na upatikanaji wa kwenye...
Share:

Aug 22, 2013

TOKA KINYELEZI MPAKA K'KOO!!!

 Hivi ndivyo masaa yanavyokatika tukiwa tunawajibika kama ilivyoada ili mkono uende kinywani! Kutoka Kinyelezi ilipokuwa Dish ya DSTV na kutakiwa ihamishiwe Kariakoo ili maisha yaendelee kama kawa watu wakila burudani zao wakiwa na tv tuu!!   Hapa tayari kwa...
Share:

Aug 16, 2013

HUYU KATI YA WENGI WALIONIPATA KUPITIA MTANDAO!

+255789476655 Hapa ilikuwa hakuna kitu kinaitwa signal,na sababu kubwa inayofanya natembelea vijumba ama office za watu ikiwa Dish imeshafungwa signal kupotea mi fasta nakurejeshea!!!! Hapa ni Mwenge,mitaa flani hivi imetuliaaa!!  Kuonekana imooo!!  Tayari...
Share:

Aug 10, 2013

Karibu na ubarozi wa Ufaransa!

+255789476655 Muda ambao vijana wenzangu wanatumia mtandao kupiga soga na kupotoshana mi kwangu ipo tofauti sana tena sana maana kila kukicha naongeza idadi ya marafiki si kupiga piga soga zisizo na maana bali kufanya haya ya kupendeza na hapa nimefika kutokea mtandaoni u...
Share:

Aug 8, 2013

ALJAZEERA SPORTS

Maswali yamekuwa mengi mkiniuliza mnawezaje kupata Decoder za Aljazeera sports ila jibu huwa nalitoa moja tu kama ilivyo kwa Abudhab Sport pale awali...!! Hii kampuni haina wakala hapa bongo na kama yupo mi simfahamu maana kila ninyemfungia anakuwa anaagiza mwenyewe...
Share:

Jul 30, 2013

Op.MWALIMU JK NYERERE P.SCHOOL

Maeneo ya Mbezi Beach maeneo maeneo hivi yaliyo tulivu sana kwa lugha nyepesi kwa kishua!!Kuna shule ijulikanayo kama MWALIMU JK NYERERE,sasa mimi nilihitajika kwenye nyumba ambayo inatazamana na hii shule,hapa kilichotakiwa mimi nifanye ni kufunga DSTV EXTRA VIEW....!!Kama kawa kama dawa nikapewa nafasi nami nikafanya yangu ila hapa ilinichukua siku...
Share:

Jul 28, 2013

ZUKU TV TANZANIA

Offer Tsh 75000/= na mwezi mmoja bure! Bila ufundi. Ina zaidi ya channel 100! Package za zuku:- Zuku classic Tsh 15,500/= channels 69 Zuku premium Tsh 22,500/= channels 100 Zuku asia Tsh 24,000/= channels 27 Kujua Channels zote zilizo kwenye zuku tv:- BOFYA HAPA  +255789476655 Mobile:...
Share:

Jul 24, 2013

MKOA PWANI WANAPAITA MKULANGA NILIHITAJIKA!!

Hapa banaa ilikuwa nawezaje kufunga dish na nikapeleka tv mbili vyumba tofauti na kila tv inajitegemea kubadili channel aipendayo muhusika anayeangalia tv hiyo! Mbona si kazi kama mawazo ya wengine yalivy! Mahitaji Dish husika kwa kuwa waarabu ndio waliohitajika ni c band...
Share:

Jul 22, 2013

CHANNEL ZILIZO KWENYE CONTINENTAL DECODER

Channel zinazopatikana katika Decoder ya Continental ni hizi hapa ingawaje hapa sijaorodhesha zote, pindi uhakiki utakapofanyika zote zitaorodheshwa hapa:- Star e+ Star bun Star tv ge Star Movies+ Morning Star tv Star Muzik Afro Culture ITV EATV TBC Channel...
Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA WHATSAPP +255755949413