Digital ndo habari ya sasa!
Sasa ile channel ya dini ya Trenet tv nayo kwenye Dish tena ikiwa bure!
Unaipata kutumia Dish ndogo,satellite husika Intelsat 17 nyuzi 66E,kama muelewa wa masuala ya madish tofauti nyuzi mbili na Emanuel tv kwenye dish ya KU!!!
Kwa mtazamo wangu wanaweza wakaja kuhama Satellite baadae maana hapa walipokaa wapo wenyewe...
Sep 29, 2013
HATIMAE CLOUDS TV KWENYE DISH!!

Swali la wengi leo limepata jibu maana walikuwa wanauliza Clouds tv mbona haipo kwenye Dish,ukweli ni kwamba hili lilikuwa ni swala lililo ndani ya uwezo wa Clouds Media Group na sio mimi Mustapha Madish!!
wamefanya walichopaswa kufanya,ambapo kwangu imekuwa fulsa ndo hivi...
Sep 13, 2013
KAZI NZURI KWA MACHO YAONEKANA!

Awali hapa fundi alipita na kutumia uwezo wake kufanya alichofanya na kuondoka,lakini haikupita muda kwa mujibu wa mwenyewe Dish ikazingua na fundi akipigiwa kimyaaaa!!
Wapi alipo MustaphaMadish baada ya kunipata solution ikapatikana!!
Kwanza labda nitoe angalizo kwa wateja...
Sep 3, 2013
TOKA AFRICANA KWENDA SALASALA

+255789476655/659161111/714973797
Ukija kwenye swala la kuhama toka nyumba moja mpaka nyengineni ni jambo la kawaida sana kuhama na Dish yako iwe ya DSTV ama ya kawaida yeyote ile unahama nayo na channel zako zile zile ama zinaweza kuzidi kama ulikuwa hujui!!!!
Ambacho wengi...
Sep 1, 2013
CHANNEL ZA TANZANIA KWENYE DISH NDOGO

Awali ilikuwa huwezi kupata Local channel mpaka ufunge dish ya c band yaani dish kubwa,lakini sasa mambo ni tofauti kwani unaweza kupata Local channel kwa kutumia kadish kadogo (KU) na lnb ya ku,isipokuwa Receiver ni lazima utumie ya MPEG4 tofauti na upatikanaji wa kwenye...
Aug 22, 2013
TOKA KINYELEZI MPAKA K'KOO!!!

Hivi ndivyo masaa yanavyokatika tukiwa tunawajibika kama ilivyoada ili
mkono uende kinywani!
Kutoka Kinyelezi ilipokuwa Dish ya DSTV na kutakiwa ihamishiwe Kariakoo
ili maisha yaendelee kama kawa watu wakila burudani zao wakiwa na tv
tuu!!
Hapa tayari kwa...
Aug 16, 2013
HUYU KATI YA WENGI WALIONIPATA KUPITIA MTANDAO!

+255789476655
Hapa ilikuwa hakuna kitu kinaitwa signal,na sababu kubwa inayofanya natembelea vijumba ama office za watu ikiwa Dish imeshafungwa signal kupotea mi fasta nakurejeshea!!!!
Hapa ni Mwenge,mitaa flani hivi imetuliaaa!!
Kuonekana imooo!!
Tayari...
Aug 10, 2013
Karibu na ubarozi wa Ufaransa!

+255789476655
Muda ambao vijana wenzangu wanatumia mtandao kupiga soga na kupotoshana mi kwangu ipo tofauti sana tena sana maana kila kukicha naongeza idadi ya marafiki si kupiga piga soga zisizo na maana bali kufanya haya ya kupendeza na hapa nimefika kutokea mtandaoni u...
Aug 8, 2013
ALJAZEERA SPORTS
Maswali yamekuwa mengi mkiniuliza mnawezaje kupata Decoder za Aljazeera sports ila jibu huwa nalitoa moja tu kama ilivyo kwa Abudhab Sport pale awali...!!
Hii kampuni haina wakala hapa bongo na kama yupo mi simfahamu maana kila ninyemfungia anakuwa anaagiza mwenyewe...
Jul 30, 2013
Op.MWALIMU JK NYERERE P.SCHOOL
Maeneo ya Mbezi Beach maeneo maeneo hivi yaliyo tulivu sana kwa lugha nyepesi kwa kishua!!Kuna shule ijulikanayo kama MWALIMU JK NYERERE,sasa mimi nilihitajika kwenye nyumba ambayo inatazamana na hii shule,hapa kilichotakiwa mimi nifanye ni kufunga DSTV EXTRA VIEW....!!Kama kawa kama dawa nikapewa nafasi nami nikafanya yangu ila hapa ilinichukua siku...