
Kuna kitu watu wengi wanashindwa kuelewa ni kwanini Aljazeera na Abudhab malipo yao ni rahisi pengine tofauti na Dstv hivi!! Ukweli ni kwamba hawa jamaa wana channel chache sana na ni za sport tu isipokuwa Satellite ambayo wanatumia kuna channel nyingi za bure hivyo humpumbaza...