Kuna baadhi ya wateja wa Aljazeera sports wanalia sasa kama si kuhaha na kudhani pengine ndo imeshakula kwao maana wanakosa jibu la uhakika kuhusu card zao!
Ukweli ni kwamba kuna baadhi ya card zimefail na tatizo ni la kwao wenyewe na kwa mujibu wao wanalifanyia kazi!
Je wewe ni miongoni mwao ama!!...
Dec 15, 2013
LOCAL CHANNEL ZINAZOPATIKANA DSTV

Awali ilikuwa TBC1 pekee,ambapo baadae ikaongezeka na STAR TV na hivi karibuni CHANNEL 10 nayo imeongeza idadi na kuwa channel 3 za Tanzania zinazopatikana DStv
...
Dec 13, 2013
JE NI NCHI NGAPI AMBAZO UNAWEZA KUONA AZAM TV!?

Niliwahi kupokea simu siku za hivi karibuni kutoka Nairobi,swali likiwa je kama atanunua Azam tv inaweza ikakamata! Jibu la swali hilo ama linalofanana na hilo ni hili kwenye hii picha hapa chini!
Angalia kwa umakini nchi ambazo ukifunga Azam tv inakamata kama...
Dec 12, 2013
NATAFUTA MAFUNDI WAZURI WA KUFUNGA SATELLITE DISH ANTENNA

Hili ni swali ambalo nahisi hata wewe unajiuliza katika walio wengi baada ya kushindwa kujua wapi mtapata mafundi wazoefu wa kufunga dish antenna aina zote!
Swali lako limepata jibu,tena jibu lililo sahihi kabisa!
Hapa ndipo mahali pake!
Tunafunga Dish Antenna aina zote kama...
Dec 10, 2013
JE NI MPENZI WA VODACOM PREMIER LEAGUE....YANI LIGI KUU TANZANIA BARA?

Azam Tv hawakusau wale wapenzi wa mpira wa ligi ya nyumbani. Mechi za
ligi kuu ya Tanzania bara zita rushwa hewani kupitia chaneli za azam 1
na azam 2 live bila chenga! usikubali kubaki nyuma jipatie king'amuzi
chako ili ufaidi!
...
Dec 9, 2013
MAFUNDI WA AZAM TV KAZINI

King'amuzi kipya ila kimeteka wadau wengi kutokana na ubora wake achilia mbali urahisi wa kununua!
Tunasahau vile ving'amuzi vinavyotumia Antenna vinavyolalamikiwa kila kukicha kwa kukata kata picha!
Azam tv ukiacha sifa ya kutumia Dish,Decoder zetu pia ni HD picha...
Dec 6, 2013
AZAM TV INAPOPATIKANA
Leo tarehe 6/12/2013 tumeanza rasmi kuuza Azam tv Tanzania nzima.
Pengine unajiuliza bei gani?
Ina channel ngapi?
Channel zipi?
Wapi utaipata azam tv?
Bei ni Tsh 135,000/= Full Installation ( Bei ya zamani hii )
KUJUA BEI MPYA YA KUNUNUA KING'AMUZI Bofya Hapa
Nikiwa...
Dec 5, 2013
MUSTAPHA MADISH CREW TUKIFANYA YETU

Matakwa ya mteja ndo wajibu wetu ukizingatia mteja kwetu mfalme na ndiye anayetufanya sisi tuendelee kuwepo mtandaoni na maisha kuendelea!
C babd ft6
Mwanaume kazini
Mustapha MaDish
Angalau sura inaonekana
Herman Akifanya...
Nov 30, 2013
AZAMTV | BURUANI KWA WOTE | AZAM TV

BURUDANI KWA WOTE!!!
Azam Tv ni mtoa huduma ya kidigital kupitia Satellite,ina burudani yenye ubora wa hali ya juu kwa familia na kwa bei nafuu,makao makuu ya Azam tv yapo Dar es salaam Tanzania.Azam tv ilianzishwa mwaka 2013,ina nia ya kujipanua zaidi katika nchi...
Nov 29, 2013
TATIZO LAKO NI NINI ILI UPATE CHANNEL UTAKAZO!!??

Kwa Office nikikungoja wewe!
Kuhusu visimbuzi vyote kama:-
DStv, Azam tv, Startimes na Zuku.
Pengine toka ilipotulazimu tuingia kwenye Digital,ndugu yangu wewe bado hukuwa tayari,ama hujui ni King'amuzi gani bora cha kununua na ukapata kile ulichokuwa unakihitaji!
Una...