
Kiukweli muda kidogo sijafanya kazi za local channel,si mpya wala ya kuirudi ya zamani kuwa mpya kutokana na ukweli kwamba ving'amuzi vimekuwa vingi na wadau wengi nawauzia vya malipo ya mwezi tu!
Ila leo imenirejesha kuleee ambapo ilikuwa kwa siku nafunga dish mbili...