
...kutokana naukweli kwamba siwezi kufanya kila kitu mwenyewe lazima kuwe kuna mgawanyiko wa kazi ili mambo yaende kwa wakati na kwa ubora stahiki ndo sababu ya kuwa na team!
Team Kazi,Mustapha MaDish Crew unaweza kutuita Rangers tuna kila sababu ya kujivunia kufanya vizuri...