
Mjengoni.
Mlango mkuu wa kuingilia
Kuna mdau aliwahi kuniambia ndio jengo refu kupita yote dar es salaam,
linaitwa Golden Jubilee Tower lipo maeneo ya posta!
Binafsi ambacho naweza kusema ni refu kweli maana ukikaa juu ni balaa!!
Hapa ndipo zilipo office...