Decoder ya Azam tv
Channel za Azam tv
Dish ya Azam tv ikiwa kwenye signal
Swali la wengi ni kwamba je unaweza kuongeza channel kwenye Decoder ya Azam tv na ni zipi!?
Hakika unaweza kuongeza na baadhi ya channel ambazo zinapendwa na wengi ambazo unaweza...
May 31, 2014
DSTV - KINONDONI MANYANYA

Offer inaendelea kufanya vema ukizingatia kombe la dunia ndo habari ya mjini kwa sasa!
Wadau wanataka brazil kuihamishia majumbani mwamo na hii ndo sababu ya kutufanya tuipeleke DSTV kinondoni manyanya!
Mustapha MaDish nikagonga sign yangu na kisha nikachapa mwendo!
PIGA...
May 28, 2014
PSPF - INSTALLATION YA DSTV

Mjengoni.
Mlango mkuu wa kuingilia
Kuna mdau aliwahi kuniambia ndio jengo refu kupita yote dar es salaam,
linaitwa Golden Jubilee Tower lipo maeneo ya posta!
Binafsi ambacho naweza kusema ni refu kweli maana ukikaa juu ni balaa!!
Hapa ndipo zilipo office...
May 1, 2014
TUNAWATAKIA MEI MOSI NJEMA

Baadhi ya team kazi tayari kwa kukuhudumia
Lengo ni kukupa kilicho bora kwa wakati na kwa mifano iliyo hai!Je umependa huduma zetu muda huu wa sikukuu kama signal haiko poa ni rahishi sana,unachopaswa kufanya ni kuchukua simu yako na kupiga no.+255789476655 utaeleza shida...
Apr 25, 2014
NDANI YA NAPOLI LODGE

Mustapha MaDish mzigoni!!
Je unamiliki Lodge/Hotel na ungependa kupata channels kwa tv zako zote zilizopo kwa channel safi na zile zinazopendwa!!? Unachopaswa kufanya ni kuchukua simu yako na kubofya no.+255789476655/714973797/659161111 Ongea na Mustapha MaDish...
Apr 24, 2014
DSTV OFFER!!

Kwa Tsh 129,000/=
Technical Director mzigoni!
Unapata Dish,Decoder,LNB,Cable mt 20 na Ufungaji!
Baada ya hapo unachagua kifurushi ukipendacho kati ya vifuatavyo:-
ACCESS TSH 16500/=
FAMILY TSH 33,000/=
COMPACT TSH 56,000/=
COMPACT PLUS TSH 88,000/=
PREMIUM TSH 138,000/=
KWA...
CHANNEL ZISIZOONYESHA KWENYE AZAM TV

KUHUSU AZAM TV
Wadau,
Tunapokea malalamiko kutoka kwenu kuwa chanel za ZBC,K24 na NTV zinaandika ACCESS DENIED.
Kuhusu channel hizi za Kenya yaani K24 na NTV,hazitoweza tena
kupatikana ndani ya Azam TV kwani tumepaswa kuziondoa kutokana na
kutokuwa na haki za kuendelea...
Apr 23, 2014
NAENDELEA KUWAJUZA WATAALAMU WANGU...

Omary a.k.a smalling tayari anajulikana ila kwa mkono wangu wa kulia nawajuza ambaye hamkuwahi kumuona ama mlimuona ila sikuwa nimemleta rasmi kwenu anaitwa Rashidy a.k.a Mkenya..!!
Kushoto ni Omary,katikati hana jina na upande wa kulia ni Rahid...
Apr 22, 2014
TUNACHOJIVUNIA KWENU.......!!

...kutokana naukweli kwamba siwezi kufanya kila kitu mwenyewe lazima kuwe kuna mgawanyiko wa kazi ili mambo yaende kwa wakati na kwa ubora stahiki ndo sababu ya kuwa na team!
Team Kazi,Mustapha MaDish Crew unaweza kutuita Rangers tuna kila sababu ya kujivunia kufanya vizuri...
Apr 19, 2014
MOJA KATI YA SEMINA MAKAO MAKUU AZAM TV

Ni kawaida kila baada ya muda fulani tunakutana makao makuu na kujadili biashara kwa ujumla inaendaje,nini kipya na wateja mnahitaji nini kwa ujumla ili muendelee kufurahia burudani kwa wote!
Mustapha MaD...