
C band kwa signal
Kiukweli kwa kiasi kikubwa watumiaji wa Dish za Local wamepungua sana kutokana na ving'amuzi kumiminika na kuwa bei rahisi!
Katika uchunguzi binafsi nimegundua watanzania wengi wanapenda ving'amuzi vya madish na ukweli ni kwamba ving'amuzi vya kutumia...