
Maswali yamekuwa meengi kuhusu Receiver gani sahihi ya kuweza kupata DSTV ya wizi!!
Ijapokuwa Receiver ni nyingi na kila kukicha zinakuja namna za kufanya wizi huu yaani kufungua channels ambazo zinalipiwa kwa kupata kwa gharama ya chini sana ambayo kwa lugha nyepesi ni bure...