Kila kona si ya Tanzania pekee ni dunia nzima story ni kombe la dunia hata kama nchi husika haijapeleka timu yao kama ilivyo sisi Tanzania,bado haitukatazi kuwa na msisimko na kombe hili!Kwanini kutokana na upenzi wa mpira wa miguu kwa ujumla kwa maana hiyo ukiacha burudani kuna kujifunza pia sasa wacha niwape ratiba itakavyokuwa kuanzia tarehe...
Jun 7, 2014
DSTV YA KUCHAKACHUA!

Maswali yamekuwa meengi kuhusu Receiver gani sahihi ya kuweza kupata DSTV ya wizi!!
Ijapokuwa Receiver ni nyingi na kila kukicha zinakuja namna za kufanya wizi huu yaani kufungua channels ambazo zinalipiwa kwa kupata kwa gharama ya chini sana ambayo kwa lugha nyepesi ni bure...
Jun 6, 2014
DSTV TANZANIA OFFER Inafanya vizuri!

Baada ya kukumbuka site nimerejea kama kawa na leo nimeamka na DSTV ikiwa ni OFFER ya Tsh 129000/= Unapata kufungiwa na vifaa vyote isipokuwa inakuwa haina kifurushi cha mwezi!
Moja nilifunga kiwanja cha nyumbani Magomeni ila hii Magomeni Makuti!
Ya pili nilifunga sehemu...
FREE CHANNELS KWENYE C BAND

C band kwa signal
Kiukweli kwa kiasi kikubwa watumiaji wa Dish za Local wamepungua sana kutokana na ving'amuzi kumiminika na kuwa bei rahisi!
Katika uchunguzi binafsi nimegundua watanzania wengi wanapenda ving'amuzi vya madish na ukweli ni kwamba ving'amuzi vya kutumia...
Jun 1, 2014
CHANNELS UNAZOWEZA KUONGEZA KWENYE AZAM TV
Decoder ya Azam tv
Channel za Azam tv
Dish ya Azam tv ikiwa kwenye signal
Swali la wengi ni kwamba je unaweza kuongeza channel kwenye Decoder ya Azam tv na ni zipi!?
Hakika unaweza kuongeza na baadhi ya channel ambazo zinapendwa na wengi ambazo unaweza...
May 31, 2014
DSTV - KINONDONI MANYANYA

Offer inaendelea kufanya vema ukizingatia kombe la dunia ndo habari ya mjini kwa sasa!
Wadau wanataka brazil kuihamishia majumbani mwamo na hii ndo sababu ya kutufanya tuipeleke DSTV kinondoni manyanya!
Mustapha MaDish nikagonga sign yangu na kisha nikachapa mwendo!
PIGA...
May 28, 2014
PSPF - INSTALLATION YA DSTV

Mjengoni.
Mlango mkuu wa kuingilia
Kuna mdau aliwahi kuniambia ndio jengo refu kupita yote dar es salaam,
linaitwa Golden Jubilee Tower lipo maeneo ya posta!
Binafsi ambacho naweza kusema ni refu kweli maana ukikaa juu ni balaa!!
Hapa ndipo zilipo office...
May 1, 2014
TUNAWATAKIA MEI MOSI NJEMA

Baadhi ya team kazi tayari kwa kukuhudumia
Lengo ni kukupa kilicho bora kwa wakati na kwa mifano iliyo hai!Je umependa huduma zetu muda huu wa sikukuu kama signal haiko poa ni rahishi sana,unachopaswa kufanya ni kuchukua simu yako na kupiga no.+255789476655 utaeleza shida...
Apr 25, 2014
NDANI YA NAPOLI LODGE

Mustapha MaDish mzigoni!!
Je unamiliki Lodge/Hotel na ungependa kupata channels kwa tv zako zote zilizopo kwa channel safi na zile zinazopendwa!!? Unachopaswa kufanya ni kuchukua simu yako na kubofya no.+255789476655/714973797/659161111 Ongea na Mustapha MaDish...
Apr 24, 2014
DSTV OFFER!!

Kwa Tsh 129,000/=
Technical Director mzigoni!
Unapata Dish,Decoder,LNB,Cable mt 20 na Ufungaji!
Baada ya hapo unachagua kifurushi ukipendacho kati ya vifuatavyo:-
ACCESS TSH 16500/=
FAMILY TSH 33,000/=
COMPACT TSH 56,000/=
COMPACT PLUS TSH 88,000/=
PREMIUM TSH 138,000/=
KWA...