
Yap! Pengine unaanza kujiauliza unawezaje!? Je unawaibia DStv!!??
Jibu hapana,bila kumuibia mtu kwa kutumia Dish lako dogo unaweza ukaona mpira buree nyumbani kwako!
Hii inahitajika Receiver,Dish KU,Cable,KU lnb baada ya hapo kabumbu inahamia nyumbani kwako bila malipo...