Call / WhatsApp +255755949413

Jun 10, 2014

TATIZO LA AZAM TV

TUNAWAOMBA RADHI KWA USUMBUFU MLIOUPATA NA MNAOENDELEA KUUPATA... Yapata wiki sasa Decoder za Azam tv zimekauka na huwa tunapata wakati mgumu sana kuwaruhusu wateja wangu kuondoka pasipo kupata walichokitegemea..... TATIZO LIPO NJE YA UWEZO WETU ILA LINAFANYIWA KAZI...
Share:

Jun 8, 2014

ANGALIA WORLD CUP FREE!!

Yap! Pengine unaanza kujiauliza unawezaje!? Je unawaibia DStv!!?? Jibu hapana,bila kumuibia mtu kwa kutumia Dish lako dogo unaweza ukaona mpira buree nyumbani kwako! Hii inahitajika Receiver,Dish KU,Cable,KU lnb baada ya  hapo kabumbu inahamia nyumbani kwako bila malipo...
Share:

Jun 7, 2014

RATIBA ZA MECHI KOMBE LA DUNIA

Kila kona si ya Tanzania pekee ni dunia nzima story ni kombe la dunia hata kama nchi husika haijapeleka timu yao kama  ilivyo sisi Tanzania,bado haitukatazi kuwa na msisimko na kombe hili!Kwanini kutokana na upenzi wa mpira wa miguu kwa ujumla kwa maana hiyo ukiacha burudani kuna kujifunza pia sasa wacha niwape ratiba itakavyokuwa kuanzia tarehe...
Share:

DSTV YA KUCHAKACHUA!

Maswali yamekuwa meengi kuhusu Receiver gani sahihi ya kuweza kupata DSTV ya wizi!! Ijapokuwa Receiver ni nyingi na kila kukicha zinakuja namna za kufanya wizi huu yaani kufungua channels ambazo zinalipiwa kwa kupata kwa gharama ya chini sana ambayo kwa lugha nyepesi ni bure...
Share:

Jun 6, 2014

DSTV TANZANIA OFFER Inafanya vizuri!

Baada ya kukumbuka site nimerejea kama kawa na leo nimeamka na DSTV ikiwa ni OFFER ya Tsh 129000/= Unapata kufungiwa na vifaa vyote isipokuwa inakuwa haina kifurushi cha mwezi! Moja nilifunga kiwanja cha nyumbani Magomeni ila hii Magomeni Makuti! Ya pili nilifunga sehemu...
Share:

FREE CHANNELS KWENYE C BAND

C band kwa signal  Kiukweli kwa kiasi kikubwa watumiaji wa Dish za Local wamepungua sana kutokana na ving'amuzi kumiminika na kuwa bei rahisi! Katika uchunguzi binafsi nimegundua watanzania wengi wanapenda ving'amuzi vya madish na ukweli ni kwamba ving'amuzi vya kutumia...
Share:

Jun 1, 2014

CHANNELS UNAZOWEZA KUONGEZA KWENYE AZAM TV

 Decoder ya Azam tv Channel za Azam tv Dish ya Azam tv ikiwa kwenye signal Swali la wengi ni kwamba je unaweza kuongeza channel kwenye Decoder ya Azam tv na ni zipi!? Hakika unaweza kuongeza na baadhi ya channel ambazo zinapendwa na wengi ambazo unaweza...
Share:

May 31, 2014

DSTV - KINONDONI MANYANYA

Offer inaendelea  kufanya vema ukizingatia kombe la dunia ndo habari ya mjini kwa sasa! Wadau wanataka brazil kuihamishia majumbani mwamo na hii ndo sababu ya kutufanya tuipeleke DSTV kinondoni manyanya! Mustapha MaDish nikagonga sign yangu na kisha nikachapa mwendo! PIGA...
Share:

May 28, 2014

PSPF - INSTALLATION YA DSTV

Mjengoni.  Mlango mkuu wa kuingilia Kuna mdau aliwahi kuniambia ndio jengo refu kupita yote dar es salaam, linaitwa Golden Jubilee Tower lipo maeneo ya posta! Binafsi ambacho naweza kusema ni refu kweli maana ukikaa juu ni balaa!! Hapa ndipo zilipo office...
Share:

May 1, 2014

TUNAWATAKIA MEI MOSI NJEMA

Baadhi ya team kazi tayari kwa kukuhudumia Lengo ni kukupa kilicho bora kwa wakati na kwa mifano iliyo hai!Je umependa huduma zetu muda huu wa sikukuu kama signal haiko poa ni rahishi sana,unachopaswa kufanya ni kuchukua simu yako na kupiga no.+255789476655 utaeleza shida...
Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA WHATSAPP +255755949413