
Awali kulikuwa na Abudhab baadae swala la kabumbu likahamia kwa Aljazeera,ambapo sasa ni nafasi ya Bein Sports mfumo wa ulipaji ukiwa ni ule ule na Decoder zitumikazo ni zile zile tofauti yake ni card tu!
Tanzania ni nchi mojawapo kati ya nchi kadhaa walizokuwa wanaangalia...