
Swali limekuwa nawezaje kupata star tv kwenye king'amuzi cha azam tv!!??
Na hii imetokana na baadhi ya wengine kupata star tv kwenye king'amuzi cha azam tv..
Je star tv wameungana na azam tv!!??
Jibu ninaloweza kuwapa ni kwamba star tv haijaungana na azam tv,badala yake...