
...nilipoona Dish hii ya DStv wala sikushangaa sana na badala yake ndipo nikaamua kupiga picha ili alau kile ambacho nilichokuwa sijawahi hata kukumbusha tukumbushane kwa pande zote mbili..
Mafundi wenzangu na wateja wetu pia wote wa ving'amuzi kwa ujumla hasa vile vya kutumia...