Call / WhatsApp +255755949413

Oct 16, 2014

NAWALETEA CONTINENTAL YA DISH

Hatimae marejeo yamekuwa mazuri,ambapo sasa macho ya watanzania na wadau wa ving'amuzi kwa ujumla yameelekezwa kwa Digitek kuona yakuwa nao watatoa dish baada ya Continental kutoa Dish! Hii inamaanisha leo ukihitaji king'amuzi cha Continental nitakachokuuliza cha kwanza.. unataka...
Share:

UWEZO BINAFSI

Ijapokuwa imepita miezi ipatayo 10 ila hili ni moja kati ya niyakumbukayo na ya kujivunia pia na sababu napokea simu mpaka wakati mwengine naona imepitiliza ila kwakuwa ndo kazi yangu sinabudi kumaliza shida za wadau wangu... Nakumbuka ni maeneo ya sinza pale kumekucha...
Share:

Oct 13, 2014

HII SIO SAWA KABISA

...nilipoona Dish hii ya DStv wala sikushangaa sana na badala yake ndipo nikaamua kupiga picha ili alau kile ambacho nilichokuwa sijawahi hata kukumbusha tukumbushane kwa pande zote mbili.. Mafundi wenzangu na wateja wetu pia wote wa ving'amuzi kwa ujumla hasa vile vya kutumia...
Share:

Oct 12, 2014

KING'AMUZI CHA BEI RAHISI KULIKO VYOTE TANZANIA

Swali? Je unahitaji urahisi wa kulipa malipo ya mwezi ama kununua..!? Limekuwa kama tatizo hivi kwa nchi yetu toka lilipokuja swala la udigital kuingia na kulazimika kila aliye Tanzania ili uangalie tv ni lazima king'amuzi kihusike! Issue inakuwa hapa kuhusu king'amuzi!! Kipi...
Share:

Oct 11, 2014

STARTIMES YA DISH

King'amuzi ambacho kilipoanza kilipokelewa vizuri sana,watanzania wengi walinunua ila baadae kidogo kulitokea tatizo,tatizo ambalo liliwaweka wakati mgumu sana hasa katika kupata wateja wapya na wale wa zamani kutafuta namna ya kuondokana na tatizo hilo.. Tatizo la signal...
Share:

Oct 10, 2014

KIFURUSHI CHA ZUKU PREMIUM | ZUKU PREMIUM PACKAGE | TSH 25,000

Zijue channel zilizopo kwenye kifurushi cha zuku premium:- Kuna jumla ya channel 98 TV channel 55 radio Zuku Zone Guest Channel Citizen KTN NTV K24 Kiss (KE) EBRU QTV Kass tv UBC 3Stone tv NBS Uganda Channel 10 TBC1 Clouds tv WBS ITV MBC tv Njata tv Wholesome tv Zuku Entertainment EATV Zuku...
Share:

Oct 9, 2014

SIKU KAMA YA LEO MIAKA YA NYUMA...!

Tarehe 10 mwezi wa 10 miaka kadhaa nyuma.. Mustapha Hanya nikazaliwa kwa kichache nilichonacho Mustapha MaDish ukitiita hivyo inatosha.. Ah siwezi sema najua kila kitu ila nashukuru kwa umri wangu nimejua mengi sana.. Hakuna wa kumshukuru zaidi ya Allah muweza wa yote! Kama...
Share:

Oct 8, 2014

KIFURUSHI CHA ZUKU ASIA | ZUKU ASIA PACKAGE | TSH 24,000

Jumla ya channel zote zilizopo kwenye kifurushi maalum cha asia:- Kuna jumla ya channel 27. Zoom Star Plus Life OK Colors SAB B4U Movies B4U Music Star Gold Star jalsh Zee Punjabi Zee Cinema Zee News Zee Khana Khazana Zing MTV India ET Now Times Now ARY...
Share:

Oct 7, 2014

STAR TV KWENYE AZAM TV

Swali limekuwa nawezaje kupata star tv kwenye king'amuzi cha azam tv!!?? Na hii imetokana na baadhi ya wengine kupata star tv kwenye king'amuzi cha azam tv.. Je star tv wameungana na azam tv!!?? Jibu ninaloweza kuwapa ni kwamba star tv haijaungana na azam tv,badala yake...
Share:

Oct 5, 2014

TUNAWATAKIA EID MUBARAKA..!!

Leo ni sikukuu..ina maana kubwa sana kwa waislam..lakini hii haina maana kuwa inawahusu waislam tu.. Kwakulijua hili tunachukua nafasi hii kuwatakia sikukuu njema watanzania wote na dunia kwa ujumla.. Yeyote atakayepata bahati ya kupitia blog yetu hii salamu hizi zinamuhusu! Mapumziko...
Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA WHATSAPP +255755949413